Tuwaulize Viongozi hawa vimbelembele (wanaa) mashuleni "wapo wapi saa hizi?"

Kwa akili yako ni kwamba kila anayepata div 0 atakuwa jeshini,ebu badili akili yako hiyo jeshini sio mkusanyiko wa div 0

We umesoma juzi tu, enzi hizo ajira ya wenye kufail ilikuwa Polisi na Jeshini, watu walikuwa wanaingia na cheti cha darasa la saba tu, so Zero ya Four unaitupa kapuni na unatumia cheti cha la saba na kadi ya CCM (Umoja wa Vijana) unaingia jeshini au Polisi

Hiyo issue ya Tambaza nayokwambia sio ya jana au Juzi, bali ni zaidi ya miaka 20 iliyopita
 
Iyo ni zamani sikuizi majeshi yamejaa wasomi mkuu.
 
Kwa akili yako ni kwamba kila anayepata div 0 atakuwa jeshini,ebu badili akili yako hiyo jeshini sio mkusanyiko wa div 0

Sasa Unabisha Nini?? Sote Tunafahamu Kwa Ushahidi Kuwa Polisi na Jeshi Ndiyo Kimbilio La Wenye Zero that is why hata ukaguzi wa Vyeti Feki Haukuwapitia ili Kuficha aibu...

Kamanda Wa Polisi aliyepata angalau D 2 anawezaje Kumshika Mwanamke (F. Karume) Makalio Yake Hadharani?

Ukiangalia Matendo ya Majeshi na Mapolisi Huku Mitaani utacomfirm moja kwa Moja Kuwa Hawa Jamaa ni Zero.....
 
We umesoma juzi tu, enzi hizo ajira ya wenye kufail ilikuwa Polisi na Jeshini, watu walikuwa wanaingia na cheti cha darasa la saba tu, so Zero ya Four unaitupa kapuni na unatumia cheti cha la saba na kadi ya CCM (Umoja wa Vijana) unaingia jeshini au Polisi

Hiyo issue ya Tambaza nayokwambia sio ya jana au Juzi, bali ni zaidi ya miaka 20 iliyopita
na baadhi wameshawahi kuwa mabosi uvccm !!!
 
Back
Top Bottom