Tuwathamini wapenzi wetu

Kiendi

Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
44
Reaction score
75
Acheni kuwaita wachumba/wapenzi wenu majina rahisi kama vile
"Asali Wangu", "Chokoleti yangu"", "Sukari yangu".
Kuwaita majina hayo, kunawafanya waonekane wa bei rahisi.
Kwani baadhi ya vitu hivyo vinagharimu pesa ndogo sana.

Anzeni kuwaita wachumba wenu majina kama "Gunia langu la Mchele", "Pipa langu la mafuta ya Dizeli"", "Pipa langu la Petroli", "Simu yangu ya iphone 7"", "Range Rover yangu", "Kisima changu cha mafuta"", "Mfuko wangu wa Simenti"

Muwathamini Wachumba/wapenzi wenu.
 
Meridianbet wangu, Mbet wangu, Mkekabet wangu, kanjibah wangu
[emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji387]
 
[emoji109] gwala
 
ahaha cmple name NG%OMBE WANGU teh teh teh.
 
Kumbusha na upande wa pili waache haya majina......
ATM, zuzu, mbuzi, mrija n.k
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…