Tuwatazame Ma First ladies wa Tanzania

Tuwatazame Ma First ladies wa Tanzania

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
10,466
Reaction score
11,641
Tanzania toka uhuru imeongozwa na maraisi wanne na hvyo kuwa na mafirst ladies wanne pia.
Sasa hebu tujadili ni first lady gani angalau alionekana kufaa na kumshauri vema mumewe kuanzia kwa Mama Maria Nyerere, Bi. Siti Mwinyi, Mama Anna Mkapa na Mama Salma Kikwete
 
Tanzania toka uhuru imeongozwa na
maraisi wanne na hvyo kuwa na
mafirst ladies wanne pia.

Sasa hebu tujadili ni first lady gani
angalau alionekana kufaa na
kumshauri vema mumewe kuanzia kwa Mama Maria Nyerere, Bi. Siti
Mwinyi, Mama Anna Mkapa na Mama
Salma Kikwete
 
mi naona first lady wa chadema awe rose kamili badala ya josephin mahimbo. rosse kamili ametoka na babu slaa mbali kuliko huyu mke wa mahimbo alieingilia mapenzi ya wanandoa
 
mi naona first lady wa chadema awe rose kamili badala ya josephin mahimbo. rosse kamili ametoka na babu slaa mbali kuliko huyu mke wa mahimbo alieingilia mapenzi ya wanandoa

josephine ni hawala kwa dr. lakin yeye anamwita mchumba wake
 
private life ya mtu ni mbumbavuuu tu hujadili maana mifano ipo mingi sana, Clinton, Mandela, Mugabe, Sarkozy etc, sasa bacho unahoji ni nini??? unataka mme au rais??? sema tukuelewe
 
private life ya mtu ni mbumbavuuu tu hujadili maana mifano ipo mingi sana, Clinton, Mandela, Mugabe, Sarkozy etc, sasa bacho unahoji ni nini??? unataka mme au rais??? sema tukuelewe
naona viroba vimekuzidia, unadhani ni mwelevu kumbe tabula lasa
 
Seriously? yaani mke wa Rais wa kwanza wa Taifa hili unamlinganisha hao wengine?.. Anyway, kwa mtazamo wangu, Mama Maria Nyerere ndiye kinara.
 
Hakuna sehemu kwenye Katiba au sheria yeyote inayoeleza Jukumu lolote la Mke wa Rais, Kama Mke wa Rais anamshauri Rais jambo lolote basi huo ushauri haupo kisheria au Kimamlaka na ndio sababu ni ngumu sana kutathmini.

Ushauri ni ama kukubaliwa au kukataliwa, kama Rais ni mbishi hatochukua ushauri wake hata kama ushauri utakuwa mzuri kiasi gani kwa kuwa hawajibiki kuuchukua au hata Mkewe nae hawajibiki kushauri.
Mke wa Rais anapomshauri Rais KISHERIA NA KITARATIBU ni sawa na Raia yeyote anavoshauri.
 
private life ya mtu ni mbumbavuuu tu hujadili maana mifano ipo mingi sana, Clinton, Mandela, Mugabe, Sarkozy etc, sasa bacho unahoji ni nini??? unataka mme au rais??? sema tukuelewe

private life ya Rais ni muhim kufuatiliwa, maana akicheza vibaya inaweza kuwa ni hatari kwa nchi, maana anaweza akajichomeka/kuchomekewa hata kwa maadui wa nchi yetu bila kujua na kuwa rahisi kwa maadui hao kupata baadhi ya siri muhimu za nchi.

Na hata kama akina Clinton walifanya hivyo bado haihalalishi viongozi wetu kuwa na vitabia hivyo.
 
Kwanza Mama Maria ukimsikiliza anachoongea utatega tu vizuri masikio yako umsikilize anachokisema, Siti Mwinyi sijawahi kusikia chochote kutoka kwake baada ya Mwinyi (Rais mstaafu) kustaafu wala Ana Mkapa wakizungumza private feelings za maisha yao ya uzoefu wa hapa na pale....

Mama Maria kabaki mfano kabisa mpaka sasa.
 
Natamani ungejua ukweli kuwa ndoa za marais na mafirst ladies uwa ni kiinimacho, hakuna ndoa pale uwa ni zuga tu, labda baba wa taifa
 
Kiukweli mama Maria Nyerere, wengine wote ni wezi kwa kutumia taasisi walizoanzisha, mkubwa wao akiwa mama Mkapa na kufuatiwa na mama Salma JK
 
Josephine Mshumbus na Rose Kamili haitatokea wakawa first ladies, Kwani Slaa hatakuwa Rais hata wa TFF. Kwani wote hawa wanawake ni wazinzi, walimpenda Slaa huku wakijua Padre huwa haoi.
 
Back
Top Bottom