Tuwatazame Ma First ladies wa Tanzania

Tuwatazame Ma First ladies wa Tanzania

ma first lady nchini kwetu hawapo powerful kabisaa , yani they are not influential zaid ya kuzindua viharambee vya kuwawezesha wakina mama tu
 
Kila mwanamke aliyeolewa ni first lady hata shemeji yenu hapa Tabata ni festiledi vile vile
 
Kila moja aliplay part yake mfano mama Maria Nyerere alimshauri baba wa taifa kutobinafsisha government parastatals,

Mama Mwinyi alimshauri mume wake atume vijana manzese na popote kuvunja mabucha ya kitimoto na kuwapendelea dini ileee.

Mama Mkapa alimshauri mume wake wajiuzie mgodi wa kiwira na pia wakajenge mahekalu lushoto na wakimbie mtwara.

Mama Kikwete anamshauri mumewe awe na moyo wa subira kwani mambo magumu ni sawa na upepo unaopita na pia anamshauri mali zote waandike jina la ridhwaa1 na pia alimshauri mumewe wampeleke afande miraji kwa obama baada ya jamaa kukimbia mikocheni na kuzamia block 41 kwa akina Kalapina. Sina uhakika km pina alipewa mualiko kwenye harusi ya afande miraji pale Mlimani city. Ni hayo tu kwa leo.
 
mambo ya ndoa hayosion haja ya kuyapekua ua kifupi tuache umbea mambo mengi ya kujadili yapo sio lazima tuanze na ndoa za marais waliokwisha pita
 
mhh sidhani km walikuwa na influence kiasi hicho...labda mama salma alivoji-integrate nayeye kwenye NEC CCM....wanaume wenyewe wakiafrika utamwambia niniii...afadhali wanaume wa siku hizi kidogo wa-liberali
 
mi naona first lady wa chadema awe rose kamili badala ya josephin mahimbo. rosse kamili ametoka na babu slaa mbali kuliko huyu mke wa mahimbo alieingilia mapenzi ya wanandoa

kwahio atakuwa firstlady KIVULI...
 
ahahahahaahahah
mhh sidhani km walikuwa na influence kiasi hicho...labda mama salma alivoji-integrate nayeye kwenye NEC CCM....wanaume wenyewe wakiafrika utamwambia niniii...afadhali wanaume wa siku hizi kidogo wa-liberali
 
Back
Top Bottom