Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Hao WAHUNi hawana jipya.. ni udini tu unawasumbua!
Haki mmeanza kuiona kwa Zelensky, ila kwingine kote huko acha wauawe sio!! Waarabu hata wakiuawa ni sawa eti!!! Mnakera sana ninyi watu
Hao WAHUNi hawana jipya.. ni udini tu unawasumbua!
Haki mmeanza kuiona kwa Zelensky, ila kwingine kote huko acha wauawe sio!! Waarabu hata wakiuawa ni sawa eti!!! Mnakera sana ninyi watu
Kweli wewe zuzu. Twaweza hakukosea kwenye report yako kuhusu wanachama wa ccm. Katiba ya Chadema unailinganisha na katiba ya nchi?Hata ya chadema iko hivohivo. Karekebisheni kwanza ya chadema halafu mje sasa turekebishe ya taifa.
Wanataka katiba mpya kwa sabanu hii yuliyo nayo wameiishi na kuona mafhara yake hata Kama hawajaisoma. Nina hakika hata wewe huijui hii iliyopo kwa sababu ingaeijua kungegundua kuwa madhara ya hii katiba no ketengeneza mfalme anaeendesha nchi kwa ubabe her hata ya mkloni. Nyerere aliongoza harakati za Uhuru ili watanzania wawe na uwezo wa kuamua mambo yao badala ya kuamuliwa na mfalme aliyoko Ikulu.Bavicha hao wanaotaka katiba mpya ikiwa ya zamani hawaijui
Wanataka katiba mpya kwa sabanu hii yuliyo nayo wameiishi na kuona mafhara yake hata Kama hawajaisoma. Nina hakika hata wewe huijui hii iliyopo kwa sababu ingaeijua kungegundua kuwa madhara ya hii katiba no ketengeneza mfalme anaeendesha nchi kwa ubabe her hata ya mkloni. Nyerere aliongoza harakati za Uhuru ili watanzania wawe na uwezo wa kuamua mambo yao badala ya kuamuliwa na mfalme aliyoko Ikulu.
Basi wewe utakuwa na matatizo.Ninakazia: Kwa uzoefu uliopo na wingi wa mabango yenye mapungufu ya katiba iliyopo, hayupo aitakaye katiba mpya asiyejua nini anataka.
View attachment 2183658
Maridhiano my foot! Nendeni mpake wapumbavu kwa mgongo wa chupa! Maridhiano huku mnaendelea na uporaji! kwa njia tozo! maridhiano wakati mkifurusha ndugu zetu wamasai ili muwape ardhi yao waarabu!??Kutofautiana kimawazo katika nchi ni jambo la afya. Haiwezekani sote tukawa na mtizamo mmoja. Hata watoto mapacha hutokea wakati wakatofautiana.
Kwa bahati mbaya kuna zama zimepita kwa kutofautiana tu pana watu wamekufa, wamepotezwa, wamejeruhiwa, wamedhulumiwa, na mengi ya namna hiyo.
Yaliyopita si ndwele bali kiungwana hayawezi kuachwa kuwa ndiyo ilikuwa malipo stahiki kwa wahanga wale.
Mungu bariki tumepata rubani mpya mwenye kuthamimi maridhiano kwa maneno na kwa vitendo. Rubani aliyedhamiria kutuleta pamoja. Makundi yote kwa ujumla yanamkubali na sasa taifa linakuja pamoja.
Hata hivyo kuna wanaoonekana kutopendezwa na hali hii yenye matumaini mapya. Wao wamedhamiria kwa hali na mali kutusambaratisha.
Hawalali. Kila uchao wanakuja na kila aina ya chokochoko, uzandiki, fitna, uongo, uzushi, na vya namna hiyo. Alimradi tu kututatiza sisi kama wananchi na pia kumtatiza mama.
Wanahangaika mno kuzitatiza agenda zake ikiwamo hata kujaribu kumfarakanisha tu kwa lolote na kwa yeyote.
Haieleweki hasa wanataka nini au hawataki nini. Haijulikani pia kuwa, hii ni kwa maslahi gani hasa.
Watu hawa wapo pia humu JF. Mada zao na mabandiko yao mbalimbali yakiwatambulisha hivyo.
Hii nchi ni ya watanzania wote, ambamo kuna wanachama wa vyama vyote wakiwamo pia wasiokuwa na vyama.
"Hivi wandugu, mkiwamo nyie akina Elitwege, Wakudadavuwa, Nigrastratatract, johnthebaptist, Idugunde, Mulokozijr12 na wenzenu wengine ambao kila uchao ni kutafuta fursa za kupalilia utengano tu, mna madhumuni au maslahi gani hasa?"
Hivi wandugu, "Kwa nini mmedhamiria yasiwepo maridhiano kabisa? Kwa nini ni nia yenu kuona watanzania hawa wakiwamo wa CCM na wa CHADEMA haitokei kabisa nafasi ya kukaribiana? Madhumuni yenu ni nini hasa?"
Hatuwezi sote kupigia chapuo kuwa na taifa lenye ustawi, haki na usawa kwa maslahi yetu, wanetu na hata kwa watoto wa watoto wetu?
Tuwakaribishe ndugu hawa kutusaidia kuwaelewa. Labda wakijieleza wenyewe tutawaelewa. Isije kuwa kila mtu labda ana mshangaa mwenziwe.
Mbwiga mwingine huyu hapa!! hata kusoma hujui ""£*& wahead!Maelezo mengi Ila sijayasoma kwa kuwa najua wewe ni zaidi ya mjinga
hata shwetani utasema kalalaShujaa kalala
Kuna ukweli sana kwa shida ya wa Tz ni kutaka raisi;
Mwenye hofu ya Mungu
Mwenye hekima na busara za kudumisha haki, uhuru na awe mkweli.
Mzalendo wa kulinda raslimali za nchi kwa faida ya wote.