Tuwashushie 7 bila Man. U

Tuwashushie 7 bila Man. U

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
attachment.php


Kwetu sisi ni kazi tu kwa kwenda mbele tunataka leo mtoke mkijiumauma na kulia chelsea hatuna mchezo tutawashushia 7-0 leo ndo mtaona uanaume wetu tuwapo uwanjani kwanini tuandikie mate wakati wino upo.

Tutashusha hayo mabao na kisha mseme sisi ni JEMBE na sio msumeno wenye makali madogo.

YAANI 7-0 tu zinawatosha si mmeona wenyewe jana asernal wamejitutumua lakini?

Tukiwapendelea zaidi tutawapa 3-0 tu ya kufutia machozi yenu.
 

Attachments

  • chelsea.jpg
    chelsea.jpg
    71.9 KB · Views: 335
Wewe vp! Hiyo Man U mnayocheza nayo ni ipi!? Ya kwamtogole??
 
Kimbia u-edit haraka hiyo heading kabla Man U hawajaja kukutolea stress zao za kufulia. Chelsea inacheza na Man C
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom