Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,797
- 6,795
Habari
Nilitembeaga dar siku za karibuni ila
hizi tabia za baadhi ya wanaume wa dar na (wenye tabia zinazofanana nazo)
1. Wanaume hawa wanajua perfumes, lotions, deudorant, lip bumbs(whatever) and others. Mimi hili liliniudhi sana tena unaongea bila aibu.
2. Wanaume hawa wanapenda weaving, kulaza nywele, cream, na kunukia vizuri kila wakati.
3. Wanaume hawa wanapenda shopping sana. Wakitoka kazini, wanapita supermarket, shoprite n.k kwenda sokoni hawawezi. Mi nilishangaa mmoja kuchinja kuku alikimbia. lakini wanapenda kuku sijawahi ona Tanzania
4. Wanaume hawa wambeya sana... mfano Linah kuonyesha kibendi chake ikawa talk of the town realy. Sasa mambo ya kike na nyie yanawahusu nawauliza
5. Wanapenda vyakula laini kama wazazi. mi nilishangaa unapanda gari na mtu anakula chocolate na tukijiko tudogo kama kijiti.
6. Wavivu sana... wanapenda kazi za ofisini kulima hawawezi maana mikono milaini... mikono ya kupaka poda tsk
EMBU KUWENI WANAUME NYINYI MNATUAIBISHA SANA