Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
hahahahahah, haya bana.

Ahsante.Akili za kuambiwa nichanganye na zangu sio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano kijana ambae hajaoa Kama ana mazoea ya kushinda MMU anaweza akaghairi asioe akidhani kuwa ndoa zote zina matatizo, na hata akioa ataingia kwenye ndoa kisharishari Kama anaenda vitani. Jf imemuharibu.

Kweli kabisa.
Ubaya hata mtu akiweka wazi kuwa ana ndoa nzuri wengi hawaamini na watasema tuu maneno...

oooh, wanaume wote wahuni.
oooh, lazima anakucheat sema hujui tuu nk nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom