Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,246
- 4,755
"Mbowe si aggressive" labda ndio ikawa kweli. Nani anayeweza kuwa aggressive zaidi ya Mbowe?....alikuwepo Mh. Lissu....kilichompata tunajua wote!Moja Mbowe is not aggressive may be Chama kinahitaji mtu aggressive nadhani hata makamanda wanajua hili ila wamepima trade offs za kumuachia mbowe aende ni more damaging than good…(dilemma)….
Mbili hakuna mtu wa UKAWA wa kupiga SOGA kwenye media,mnaonaga akina Polepole wakipiga porojo kwenye media mnaweza kuwadharau ila wanaweka chama chao kiendelee kuwa masikioni kwa watu, kukosekana kwa mbadala kunamaanisha vyama vingine vising’ae……
Kushiriki katika projects zinazowahusu wananchi moja kwa moja,kama matibabu,afya nk,najua mtasema hamna vyanzo vingi vya mapato lakini mmeshajaribu kupitisha harambee watu wakachangia maendeleo yao wakakataa???...mmejaribu kutafuta misaada huko nje,kwenye taasis za misaada(NGO’S)…???..mkiwa engage wananchi watawakumbuka kwenye chaguzi , sio sasa hivi tunawaona wakati wa uchaguzi mnakurupuka huko mafichoni mlikokua na candidates ambao wako least popular….(by the way kwa vile CCM haifanyi hili la kuchangisha haina maana na nyie msifanye)….hizi projects zikitangazwa kwenye media tofauti tofauti ,online magazeti etc..mtapata support na at the same time mtakua MNATANGAZA chama chenu…..msikadhanie online peke yake.i still think watu bado wanatumia magazeti ingawa matumizi ya internet yanakua…..
Ningependa pia kuona mna mkakati wa kuact kuhusu hili swala la wanachama wenu kuhamia CCM,msipofanya lolote au kuwa passive jueni mtamaliza viongozi wenu wote kuhama na kufanya wananchi wawe confused even more………….kuwe na mkakati wa kuact as shock absorber in this changing environment…(sijui mfanye nini kuhusu hili,lol)
Reshuffle viongozi wenu,wale wazoefu wakae back seat na wapya wakae siti za mbele…miaka miwili inatosha kwa sura mpya kuzoeleka kwa wananchi na pia ni muda wa kutosha kwa hao viongozi wapya kuwa COACHED na viongozi wa zamani…
Nyingine jazieni tuwasaidie makamanda…
Kuwapata watu wa aina ya Mbowe, Lissu, Makamba Jr, Zitto, Lemma, Heche n.k kunachukua miaka kuwaandaaa waive namna walivyoiva leo. Hebu pendekeza nani katika upinzani anayeweza kuwa aggressive enough kuvaa viatu vya Mbowe?
Haya ni matamanio ya wengi kwamba labda Mbowe ni weak, lakini ni matamanio ya mfa maji baada ya kuona njia zote zimeshindikana kufikia matamanio yake.
Ndio. Matamanio ya kuona upinzani unakua, CCM inakufa na watu wengi wanajiunga na chama pendwa. Lakini wanasahau ni mtu wa aina gani leo aliyepo madarakani anataka mambo yaende namna gani ktk utawala wake!.....sitashangaa hata Mbowe akiondoka atakayekuja akawa bomu zaidi ya Mbowe....ya Dr. Slaa na Dr. Mashinji ni mfano mzuri.
"Hakuna mtu wa UKAWA wa kupiga soga kama Mh. Polelepole"....ni nani mmiliki wa chombo cha habari anayeweza kutoa airtime kwa mwanaUKAWA zama hizi?
Kama taarifa tu za kawaida na kampeni za watu hao hazioneshi na kutangazwa ni nani atathubutu kutoa nafasi kwa mtu mmoja mmoja kutoka UKAWANI kuja kupiga soga katika Mediahouse yake?
Mfano. Katika kipindi ya dakika 45 ITV enzi hizo walikuwa wana alternate watu wa kuja studio kutoka serikalini na UKAWANI!....Siku hizi unaona wanapewa nafasi hizo?
Kule Star Tv kumekuwa TV ya chama flani lakini si wanaukawa!....hapa napo tuwalaumu?
Ila kuminywa huko waliamua kutumia mitandao ya kijamii vizuri kuanzia kina Malisa, Mtatiro (wa zamani) BinamuBananga, Heche, Msigwa na wengineo wengi!
Huku kuliwatisha upa de wa pili, mpaka Spika kawaamusha wadhibiti nao kwa hoja huko mitandaoni!
"Washiriki katika program zinazowagusa wananchi moja kwa moja kama Afya"...watashiriki na ku coordinate maswala kama haya kama kukutana tu tena kwa vikao vya ndani wananyakuliwa kama masiah kashuka kuwanyakua watakatifu wake siku ya kiama?
Hata wakiamua na kuitisha kusanyiko kufanya jambo jema kama hili, wengine hupatwa na wasiwasi wa wao kujitanua. Hunyimwa vibali au kutawanywa kwa nguvu. Kati
Sio kila jaribio na wakati mgumu taasisi au mtu anapopitia kumpasa kufanya reshuffle!...wakati mwingine kuwa laggard pia ni njia ya kukabiliana na hali ngumu unayopitia!
Si sahihi kumhamisha shule kijana wako kisa tu ratiba ya shule imebadika!