Tuwasaidieni vyama vya upinzani

Tuwasaidieni vyama vya upinzani

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,618
Reaction score
33,475
Moja Mbowe is not aggressive may be Chama kinahitaji mtu aggressive nadhani hata makamanda wanajua hili ila wamepima trade offs za kumuachia mbowe aende ni more damaging than good…(dilemma)….

Mbili hakuna mtu wa UKAWA wa kupiga SOGA kwenye media,mnaonaga akina Polepole wakipiga porojo kwenye media mnaweza kuwadharau ila wanaweka chama chao kiendelee kuwa masikioni kwa watu, kukosekana kwa mbadala kunamaanisha vyama vingine vising’ae……

Kushiriki katika projects zinazowahusu wananchi moja kwa moja,kama matibabu,afya nk,najua mtasema hamna vyanzo vingi vya mapato lakini mmeshajaribu kupitisha harambee watu wakachangia maendeleo yao wakakataa???...mmejaribu kutafuta misaada huko nje,kwenye taasis za misaada(NGO’S)…???..mkiwa engage wananchi watawakumbuka kwenye chaguzi , sio sasa hivi tunawaona wakati wa uchaguzi mnakurupuka huko mafichoni mlikokua na candidates ambao wako least popular….(by the way kwa vile CCM haifanyi hili la kuchangisha haina maana na nyie msifanye)….hizi projects zikitangazwa kwenye media tofauti tofauti ,online magazeti etc..mtapata support na at the same time mtakua MNATANGAZA chama chenu…..msikadhanie online peke yake.i still think watu bado wanatumia magazeti ingawa matumizi ya internet yanakua…..

Ningependa pia kuona mna mkakati wa kuact kuhusu hili swala la wanachama wenu kuhamia CCM,msipofanya lolote au kuwa passive jueni mtamaliza viongozi wenu wote kuhama na kufanya wananchi wawe confused even more………….kuwe na mkakati wa kuact as shock absorber in this changing environment…(sijui mfanye nini kuhusu hili,lol)

Reshuffle viongozi wenu,wale wazoefu wakae back seat na wapya wakae siti za mbele…miaka miwili inatosha kwa sura mpya kuzoeleka kwa wananchi na pia ni muda wa kutosha kwa hao viongozi wapya kuwa COACHED na viongozi wa zamani…

Nyingine jazieni tuwasaidie makamanda…
 
Kiukweli bila mkakati kabambe tutaendelea kupata shida tu na hawa wezi...

Na hii tusiiweke kichama chama zaidi, maana bungeni kukiwa na wabunge wa CCM 99% basi sisi kama taifa tumeisha...

Ikumbukwe CCM hamna hata mmoja anaewaza kutunga sheria au kupitisha mkataba wenye maslahi na sisi... wanawaza majiko na dinning zao tu!

Ipo siku isiyokua na jina tutatamani siku zirudi nyuma ila itakua ni kuchelewa mno.
 
Sijamaliza kusoma uzi wako Rebeca 83, sio kwamba nimeshindwa la hasha.....nimeishia kwenye hii nukuu

Mbili hakuna mtu wa UKAWA wa kupiga SOGA kwenye media,mnaonaga akina Polepole wakipiga porojo kwenye media mnaweza kuwadharau ila wanaweka chama chao kiendelee kuwa masikioni kwa watu, kukosekana kwa mbadala kunamaanisha vyama vingine vising’ae……

Halafu nikatafakari jinsi intelijensia ya policcm ilivyoimara kwa mambo ya CHADEMA
 
Mkuu sasa mkakati ni upi kabla hatujachelewa..lol..its painful to watch hii trend ya siasa inavyoendelea….
 
Sijamaliza kusoma uzi wako Rebeca 83, sio kwamba nimeshindwa la hasha.....nimeishia kwenye hii nukuu

Mbili hakuna mtu wa UKAWA wa kupiga SOGA kwenye media,mnaonaga akina Polepole wakipiga porojo kwenye media mnaweza kuwadharau ila wanaweka chama chao kiendelee kuwa masikioni kwa watu, kukosekana kwa mbadala kunamaanisha vyama vingine vising’ae……

Halafu nikatafakari jinsi intelijensia ya policcm ilivyoimara kwa mambo ya CHADEMA

Mkuu embu fafanua,mpiga soga atasumbuliwa na policcm au nimekuelewa vibaya?
 
Mchango wa nini ...

Unaumwa kideri wewe yaani nilipe kodi alafu nitoe mchango yaania kuna ka shule hapa naweza nikaitia kiberiti maana kwenye mwenge tulichangishwa madawati, ikapita tena vyoo sasa vyumba vya madarasa havitoshi tuchange tena watumishi. Nataka nirudi Arusha nije na baruti niilipue hiyo shule shenzi kabiwa awamu hii

Mara tunakuwa donor alafu donor mwenyewe anachangiwa kama yatima f@ck yuo jiwe
 
mchango hua ni hiyari mkuu hujalazimishwa...au la suggest njia nyingine ambayo makamanda wanaweza engage wananchi…?
 
Tatizo lako unayaandika haya ukiwa chooni hujaenda kwenye field. Halmashauri niliyopo tumechangishwa kilazima ili shule ijengwe, mimi napenda elimu sana lakini haya tunayofanyishwa ni sawa na nguruwe umvishe kipini cha dhahabu. Nenda mtaani uone utaelewa kwa kamshahara haka kiduchu hivi ata kunywa bia na kitimoto choma nashindwa alafu unaandika ushuzi.

Kwa hali hii nasema hapana
 
kama ulikubali kulipishwa/kuchangishwa wakati ni kinyume cha sharia then tatizo ni lako...na sidhani kama umeielewa hii mada,Ukawa waanze tu kukushurutisha uchange bila ridhaa yako??mie sioni hili likitokea….naomba usitoe hasira zako kwenye hii topic please....
 
we tulia ulee watoto mambo ya chadema tuachie sisi vijana ndo tunajua nini kinafaa kwa wakati huu.
 
Rebeca 83 unaweza kuwa Una lengo zuri ila umeshindwa kuiweka vizuri ili ueleweke.

1. Unaposema wawe wanashiriki project zinawahusu wananchi mfano kwenye Afya na matibabu, Mara ngapi tumesikia Upinzani wameenda kutembelea Wagonjwa lakini wamekatawa?

2. Unasema hakuna mtu wa Ukawa wa kupiga soga kwenye Media, hivi hawa wanaovamiwa na Polisi wawapo kwenye Press ni wakina nani?

Wewe ni mgeni kwenye hii nchi?
 
Ndugu ayo mambo yote hapo hayawezi kuleta matokeo chanya kama endapo refarii bado ataendelea kupendelea upande mmoja.Mambo mengine yako wazi sana.
 
mchango hua ni hiyari mkuu hujalazimishwa...au la suggest njia nyingine ambayo makamanda wanaweza engage wananchi…?
Kwani nani mwenye shida ni chadema au wananchi ambao hawapati fursa ya kuwachagua viongozi wanaowataka?
 
Rebeca 83 unaweza kuwa Una lengo zuri ila umeshindwa kuiweka vizuri ili ueleweke.

1. Unaposema wawe wanashiriki project zinawahusu wananchi mfano kwenye Afya na matibabu, Mara ngapi tumesikia Upinzani wameenda kutembelea Wagonjwa lakini wamekatawa?

2. Unasema hakuna mtu wa Ukawa wa kupiga soga kwenye Media, hivi hawa wanaovamiwa na Polisi wawapo kwenye Press ni wakina nani?

Wewe ni mgeni kwenye hii nchi?
Asikusumbue binti kaja na hoja huku kavaa madera na kanga za ccm kiunoni ataweza vipi kuyajua hayo.
 
we tulia ulee watoto mambo ya chadema tuachie sisi vijana ndo tunajua nini kinafaa kwa wakati huu.

nani asiyejua mnaenda kwenye kifo chenu wenyewe...ninachoona hapa ni makamanda mko kwenye denial...kama mmeielewa topic yangu mlitakiwa mchangie positively nini kifanyike na sio kumkebehi Becky
 
Back
Top Bottom