Kwako Rais wetu mpendwa, jembe letu la ukweli, mzee baba, Dr. Magufuli. Protokali yote imezingatiwa. Mengi yameandikwa, shauri mbalimbali zimetolewa tangia kabla sana ya ugonjwa huu kuingia nchini takribani miezi miwili sasa. Ugonjwa uliopaswa kuzuiliwa kuingia, uliingia nchini. Pia ugonjwa...