StayReal
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 518
- 147
Mod Najua huu uzi unatakiwa kuwa kwenye jukwaa la elimu but nimeweka hapa sababu najua watu wengi huwa wanapita huku so please bare with me.
Hii nchi itabadilishwa na sisi wenyewe by taking initiative bila kusubiri wanasiasa kutuamulia. Kila kitu lazima kianzie somwhere however small it maybe. Nimeamua kuchukua hatua which I hope itakuwa chachu kwa watu wengine kuniunga mkono kwa ajili ya nchi yetu. Kuna siku nilisoma coment ya mtu hapa kuwa unahitaji kumhakikishia msichana chuo mlo mmoja tu then unalala naye, I was very sad for that. Nimeamua KUJICOMMIT kutoa huo mlo mmoja kwa msichana atakaye kizi vigezo vyangu kwa miaka miwili ya mwisho ya masomo yake(Wale wanaongia mwaka wa tatu). Nataka nimpe Tsh 3000 kila siku kwa hiyo miaka miwili. Nikifanya hivyo nitakuwa nimesaidia kuokoa mtu mmoja kutokuuza mwili wake kwa sababu ya chakula. Sababu miye niko kwenye mambo ya engineering, huyu binti lazima awe anafanya engineering kiwango cha degree chuo chochote ndani ya Tanzania na ni mtanzania pia.
Vigezo vya kumaintain hii offer
My selection criteria itakuwa fair sana cha muhimu umekizi vigezo ninavyotaka and you commit yourself to the above.
Kwa wale ambao wangependa kunijoin in this noble venture you can sponsor someone in any area of your choice na ukajiwekea masharti yako pia.
I will always keep part of my bargain and send her the money every month subject to the above conditions. I will make sure I also talk to her weekly just to know how she is progressing with her studies.
If you look at those conditions you will notice they are tailored in producing a well rounded person. Mfano journal paper namfundisha kutumia google scholar, kuandika well researched papers, na volunteering najaribu kumjengea confident ya kuomba kazi na kutengeneza network ambayo itamsaidia akimaliza masomo. Its called changing the education system from the outside
Haya sasa wadau uwanja uko wazi, mnakaribishwa kutoa maoni yenu on how best we can help in this. Tukiamua tunaweza!
NB: I will put my email address where those interested will need to write to me, why they deserve that offer.

- Awe ana wastani usiopungua 65
- Kila wiki lazima ajitolee sehemu yeyote sio chini ya masaa mawili, asifanye sehemu moja zaidi ya mara tatu ndani ya mwezi
- Kila mwezi lazima asome journal paper tatu topic ambayo nitamchagulia na aandike summary ya hizo paper
- Kila wiki lazima anipe report ya sehemu aliyojitolea
- Kila mwezi kutakuwa na report ya nini alifanya ndani ya huo mwezi