Tuwapende wake zetu. Nimeamini

Hapo kwenye visual na audio umeniacha hoi!! Make umesema unafanya nae kazi Ofisi moja!! Plz ongezea nyama kidogo isije kuwa kicheche kanyang'anywa kifaranga na mwewe.
 
What I can say.....!!
Don’’t waste time giving someone a second chance, when there is someone better waiting for you kwa nyumba..
 
Hapo kwenye visual na audio umeniacha hoi!! Make umesema unafanya nae kazi Ofisi moja!! Plz ongezea nyama kidogo isije kuwa kicheche kanyang'anywa kifaranga na mwewe.

Like I said. Naepuka kuongea naye. Na kwa sababu ofisi inajua nimeoa na yeye ameolewa sitaki kumuona kama sio kazi direct na sitaki mawasiliano kama sio ya kazi. Halafu kazi yangu inaruhusu kutokuongea naye directly.
 
swali sahihi mkuu. mi nachoona ni kuheshimu sheria na kanuni za Mungu, ndoa ni zaidi ya tamthilia na hadithi za kutunga kama hizi

Yekevalia
Sijatunga chochote. Kila nilichosema ni kweli na haki. Kama kwa njia moja au nyingine unamuumiza mke wako. Basi mtizame vizuri Leo. Kabisa mkazie macho. Muulize kama nilishawahi kukuumiza mpaka ukayamani kutoka nje ya ndoa. Read between the lines
 
Mmepima afya? Kama mchepuko nae anachepuka ujue anytime mnakuwa electrically connected

Pesa mdogo
That was the first thing. Nilienda naye angaza kwa kumshutukiza. Akagomaa kabisa. Yaani kabisa anasema hapimi. Next week nikamshikia kisu. Tukaenda. Bahati nzuri it was good news untill today.
 
Duh. Imagine ndio mke wako anaenda semina huko na anachepuka. What a waste?

Ndoa zisikie kwa jirani ila yakikufika utatamani uivunje leo.
 
Mkuu nafanyia kazi andiko lako limenichoma sana huwa nikitoka kwenye michepuko yangu narudi namkuta wife namtizama nafsi inanisuta tu sijui ninachokosa kwa wife lakini Mimi nimekubuhu kwa michepuko sijui ntabadilika vip
 
Fanya hivi mkuu:-

-Mrudie Mungu atakubadilisha,

-Ongea na wife kiustaarabu na kiakili (indirectly) mwambie akufanyie yale unayofanyiwa na mchepuko...mfano styles za mapenzi,usafi,caring n.k na unaweza kumfunza pia.
 
Mkuu nafanyia kazi andiko lako limenichoma sana huwa nikitoka kwenye michepuko yangu narudi namkuta wife namtizama nafsi inanisuta tu sijui ninachokosa kwa wife lakini Mimi nimekubuhu kwa michepuko sijui ntabadilika vip

Kweli umezidi utapata radhi ya machozi ya mkeo ndo utajutraaa wewe ndo mana wanaume huwa mnatangulia kwa Muumba. Acha hyo tabia
 
Yaan natamani na mm niwe mume wa mtu ili niwe nagegeda kila siku bila kondom tu
Yaan mke raha sana anakupikia chakula unachokitaka anakufulia nguo vizuri we ukiamka asubuhi unasepa tuu lkn ukirudi unakuta kila kitu kimepangiliwa anakupenda anakuliwaza yaan hta km ukukosa ela upati plesha kivile yaan we ukirudi unagegeda tu buleeeeee yaan na mm ntaoa aisee tena nkioa hta si msaliti mke wangu
 
This is why Naeza sema nimeoa hata hapa JF, Niweke picha yangu ama mtoto wangu bila kugombwa!
LOV U
my ZUENA,
and our beloved daughter GUINEVERE
 
Last edited by a moderator:
juhakalulujuha umesema ukweli mtupu mkuu, somo lako nimelikubali na nimejifunza kitu, asante sana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…