Nimekutana na website ya muziki inaitwa mkito.com ambapo unaweza kudownload muziki bure ingawa wanaweka matangazo. Ukisoma maelekezo yao wanasema hela zote wanazoingiza kwenye matangazo wanatoa 60% kwa wasanii wenyewe. Naona ni jambo zuri sana na njia rahisi ya kuwapa shavu wasanii wetu wa Kibongo. Kama hupendi matangazo unaweza pia kununua kila wimbo Tsh 250 kwa kutumia MPesa.
Wakuu, mnaonaje kuhusu haya mabadiliko yanayotokea katika soko la muziki nchini na hali ya wasanii wetu kiujumla?
Wakuu, mnaonaje kuhusu haya mabadiliko yanayotokea katika soko la muziki nchini na hali ya wasanii wetu kiujumla?