Ww labda utakuwa umekosea hapo ulitaka kuandika mwaka 22002020 tu DSM itakuwa hvyo
Ndio mkuuunamaanisha uwezo wao ndio umeishia hapa tulipo
sasa kama mnafanya sherehe kubwa ya uzinduzi wa kadege kama kale kwa karne hii? zile ndege zingekuja kimya kimya tu, bila hata kuwaita waandishi wa habari. Ndo kama vile mwanza wakafanya sherehe ya uzinduzi wa lift ya kwanza kwenye gorafa.unamaanisha uwezo wao ndio umeishia hapa tulipo
Hilo la uzinduzi wa kadege mimi nililiona kamasasa kama mnafanya sherehe kubwa ya uzinduzi wa kadege kama kale kwa karne hii? zile ndege zingekuja kimya kimya tu, bila hata kuwaita waandishi wa habari. Ndo kama vile mwanza wakafanya sherehe ya uzinduzi wa lift ya kwanza kwenye gorafa.
Hawapewagi tena bali siku hizi wanapora kwa nguvu.Ndio maana mnaendelea kuwapa KURA,kwa kudhani kuwa ipo siku watawafikisha huko ........Ungejiuliza kwanza je,mmeshamaliza kuchangishana madawati,kisha ndio uulize vitu vya nyongeza.
Uwiioiiiee
Miaka laki 8.