Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,290
- 61,279
hizi picha zinasikitisha sana kuna nyingine mshana jr aliziweka wakati ndo nimemaliza kula na kusaza nilipofungua tu nakuziona yaani I felt guilty as if I killed someone. Nilijuta sana kumwaga kile chakula
Kusaidia wahitaji hapo ndipo haswa baraka zilipo ni vile tuu watu bado hawajajua ila kwa kweli mi ni shuhuda, kuanzia nianze kufanya hivyo yaani hata yale niliyokuwa naona hayawezekani sasa ninayafanya.