Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 8,510
- 15,279
Rudia kusoma comment yangu ukiwa umetulia usikimbilie kujibuSijlinganishi na mwanaume na hakutakua na ulinganifu mpk mwisho wa dunia
Soma uelewe kaka
Rudia kusoma comment yangu ukiwa umetulia usikimbilie kujibuSijlinganishi na mwanaume na hakutakua na ulinganifu mpk mwisho wa dunia
Soma uelewe kaka
Tuanze na laana za kwenu mmezimaliza?This comment is too personal....
Jikite kwenye maada mkuu,,, tuwaombee au tuwaache walaanike..??
Waambie hao wakujiona watakatifunikajua kuna la maana kumbe pumba tupu..manabii waliishi na hakuna kitu waliwafanya sembuse wewe!!
Kinachokutesa Ni kipi? Wanakuibia wateja?Tulia dawa ikuingie wewe....nakuuliza swali kwa mara nyingine tena kwa nini wanawake wenzio wanafanya biashara ya kuuza miili (papuchi) yao...?
comment ya kufungia uziUkiona bidhaa sokoni ujue ina wanunuzi...
Anza pia kuwahubiria wanaume waache kununua malaya...
Ushindwe kuhurumia ******* wanaoliwa vinyeo,(wanaume wenzenu) eti ujivalishe huruma kwa wanawake,,, kiroja hikiMy dick is priceless
Mimi na wewe nani anaeibiwa na watejaKinachokutesa Ni kipi? Wanakuibia wateja?
Nikitoa location nitakua nawapa promoUkiandika mada kama hizi ni muhimu kutoa location ya eneo na mda wanaopatikana na bei
Ili tukiwa kama jamii tujue tunawasaidiaje na tunawanusuru vipi ili waepuke hio biashara
Hadi machozi yamenitoka nilivyosoma huu uzi
Taja location mkuu
Na usipotoa location unawanyima msaada unawanyima nafasi wao kuishi maisha ambayo ungetaka wayaishiNikitoa location nitakua nawapa promo
Unataka kujastify nn mkuu. Kutiwa na kila mtu atakaefika dau ni zaidi ya uchafu na takataka. Demu mhuni na alaaniweAlafu ilikua ni mida ya saa moja jioni yaani wanaume kutoka huko waliko tokaa wakamwage takataka zao
Hapo kwenye kumwaga takataka mbona Ni Kama dhihaka hata kwako mwenyewe, mke na mama yako,, Yani shahawa unaziita takataka,,[emoji44]umetoke huko huko kwenye shahawa,, mkeo unammwagiaga pia kumbe huwa unamwaga taka damponi,,mama yako je!!!!!
Hadithi ya yesu na kahaba nadhani unaifahamu hebu kanukuu ile sehemu alipowaambia makuhani watoe boriti za machoni pao ndipo waje kutoa kibanzi machoni mwa kahaba,Unataka kujastify nn mkuu. Kutiwa na kila mtu atakaefika dau ni zaidi ya uchafu na takataka. Demu mhuni na alaaniwe
Unajifanya kuwasikitikia hao
Tuanze na laana za kwenu mmezimaliza?
Kuna mmoja alikua secretary wa boss fulan tena wa kampun kubwa tz alikua anajiuza kumbe hauzi shiida maana ana pesa zake ana mjengo na usafir wa maana lakin anauza mbunye anasema anapata faraja na furaha akiuza vileMimi huwa napenda sana kupiga story..kwa taaluma yangu hii kama mtaalamu wa afya kuna dada huwa wanajiuza lakini wanapopata magonjwa ya zinaa huwa wananiomba niwatibu ...siku moja ikabidi niwahoji kwa nini wanafanya biashara ya kujiuza?... baadhi yao waliniambia huwa wanatafuta furaha..yaani ile hali ya umalaya wanaipenda na si kwamba wanafanya kwa dhiki...
Bidhaa Isipoingia Sokoni Haitopata MnunuziUkiona bidhaa sokoni ujue ina wanunuzi...
Anza pia kuwahubiria wanaume waache kununua malaya...