Tuwaombee wa Nigeria

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,885
Hizi nchi zetu kutokana na uchanga wake..
wakati mwingine jambo dogo laweza kuwa kubwa..

Binadamu huwa tunapanga yetu na Mungu nae hupanga yake...
sasa wanaigeria wenyewe walijiona wamepata solution ya migawanyiko
ya kidini na kikabila kwa kuweka mfumo wa kupokezana....
akitoka wa kusini mkristo anakuja wa kaskazini muislamu,
miaka kumi kumi.....
sasa rais muilsam wa kaskazini mgonjwa na makamu wake ni mkristo wa kusini.
akichukua nchi, wa kaskazini wataona wamepunjwa miaka kumi yao....
yaani sijui wata tatua vipi hili tatizo.....but kwa kiasi fulani...
watanzania tunatakiwa kujifunza kitu kutoka Nigeria....hasa position ya
makamu wa rais.....vinginevyo siku moja tutajikuta kwenye hali kama hii.....

mimi nasema tuwaombee sana kwa Mungu wanaigeria vinginevyo.....
 
mkuu, hata sisi tujiombee sana kwani hata kwetu chokochoko zimeeishaanza. kuna uwezekano kuwa sasa watanzania wa bara (watanganyika) wanatumia wingi wao kuhakikisha hakuna mzanzibari tena anyekuwa rais wa JMT, mambo ya kupokezana yalienda na nyerere. nafasi ya mzanzibari kuonoza nchi ni kifo cha rais aliye madarakani tu, na anarudi tena mbara!

hayo tanatoendlea huko visiwani kati ya maalim na karume ni sehemu ya chokochoko hizo. kwa taarifa tu ni kwamba sasa hivi wabara wnaonekana ni wakoloni halisi huko visiwani na harakati za kuondoa ukoloni zilianza toka enzi za dr salimin!!!!!!!!!!

tuombe sana
 
Kwanini unafikiria hivyo, kuwa Waislamu wataona wamepunjwa miaka 10? Kwani Rais wa Nigeria ni wa deen au taifa?
 
Hizi nchi zetu kutokana na uchanga wake..
wakati mwingine jambo dogo laweza kuwa kubwa..

Binadamu huwa tunapanga yetu na Mungu nae hupanga yake...
sasa wanaigeria wenyewe walijiona wamepata solution ya migawanyiko
ya kidini na kikabila kwa kuweka mfumo wa kupokezana....
akitoka wa kusini mkristo anakuja wa kaskazini muislamu,
miaka kumi kumi.....
sasa rais muilsam wa kaskazini mgonjwa na makamu wake ni mkristo wa kusini.
akichukua nchi, wa kaskazini wataona wamepunjwa miaka kumi yao....
yaani sijui wata tatua vipi hili tatizo.....but kwa kiasi fulani...
watanzania tunatakiwa kujifunza kitu kutoka Nigeria....hasa position ya
makamu wa rais.....vinginevyo siku moja tutajikuta kwenye hali kama hii.....

mimi nasema tuwaombee sana kwa Mungu wanaigeria vinginevyo.....

Tatizo lako wewe ni udini. Wakristo huwa hatuna shida na hilo tunachojali ni kuwa rais atende haki kwa maendeleo ya taifa husika basi. Ndo maana TZ rais na makamu wake ni waislamu na wakristo tuko kimya. Kama wangekuwa wote ni wakristo sijui kama waislamu mungekaa kimya.
 
Naomba popote pale ulipo unywe MVINYO kwa niaba yangu. Umemwaga point hapa.
 
Bahati nzuri huwa sinywi any alcoholic drink. Basi nitakunywa juisi ila kwa sasa niko na chupa yangu ya maji pembeni hapa naendelea kunywa si unajua umuhimu wa kunywa maji!
 
Waislamu c wasalama cku zote,maana huwa wanaona wameonewa kila sehemu lakini nchi bila ya wakristo naamini ni vita. Waislamu muache uchu wa madaraka-anfgalia utendaji wa kazi-msipende vyeo wakati utendaji kazi ni sifuri. Ili mradi muonekane kwenye magazrti. I hate that!! La muhimu kwa viongozi wetu ni kuwapa wananchi wanachostahili,ikiwa ni kutenda haki kwa kila mtanzania.
 
Tatizo lako wewe ni udini. Wakristo huwa hatuna shida na hilo tunachojali ni kuwa rais atende haki kwa maendeleo ya taifa husika basi. Ndo maana TZ rais na makamu wake ni waislamu na wakristo tuko kimya. Kama wangekuwa wote ni wakristo sijui kama waislamu mungekaa kimya.

Mkuu swadakta
 
Best kama kuomba ni kuomba amani kwa wote. Kimsingi mimi sioni kama tunapaswa kuwa na mawazo ya udini. Hata kama rais na makamu wake ni wa muhammad mimi mkristo sina shida manake nitasali kila j2 kama kawa tatizo wakileta udini wakataka kutuletea imani yao kweye serikali na katiba best ntaandamana na ntanunua bunduki.

Narudia tena hizi chokochoko walizotaka kuziingiza kwenya katiba ya bongo zikirudi Mungu mmoja najiunga na Konyi. Kazi ipo!
 
Tatizo lako wewe ni udini. Wakristo huwa hatuna shida na hilo tunachojali ni kuwa rais atende haki kwa maendeleo ya taifa husika basi. Ndo maana TZ rais na makamu wake ni waislamu na wakristo tuko kimya. Kama wangekuwa wote ni wakristo sijui kama waislamu mungekaa kimya.

Ndivyo tulivyo siku nyingi. Sasa hapo raisi mwislama lakini bado wangependa atoke kule visiwani, na wakipata nafasi atoke kule bado wataanza mambo ya unguja na pemba. Sisi yetu macho tumebaki bara tunakula bata tu,siku zinaenda!
 
jamani lakini ni kweli eeh waislamu ni very emotional people na majority hawajaenda shule wanaishia madrasa!...And they believe kuwa kuuwa innocent creature siyo dhambi na kwamba wataenda heaven....
 
Tanzania yapaswa pia kujionea huruma kuhusu usiri mkubwa wa yaliyomo kwenye utekelezaji wa Muungan wetu.
 
Back
Top Bottom