Tuwaombee msamaha Kafulila na wajumbe wengine wajiunge CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwaombee msamaha Kafulila na wajumbe wengine wajiunge CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Duble Chris, Dec 18, 2011.

 1. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wanajamvi JF
  Tumuombee msaha kafulila ili arudi CHADEMA kuendeleza harakati za kuijenga TZ kwa sababu

  • Alikuwa mwanachama wa CDM
  • Aliungana na wabunge wa CDM bungeni kususia hoja ya katiba
  • Anaonyesha kweli yeye ni mpinzani wa CCM si kibaraka
  • CDM ni chama tawala cha upinzani nchini Tz kama CCM wanavyofanya wapokea walio hama na kurejea upya
  • etc
  Wajumbe wengine pia wahamie CDM kwani wamekuwa ni wachapa wazuri ndani ya chama chao wakijiunga na CDM wataku mtaji wa faida kubwa

  Nawasilisha
   
 2. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  nasapoti ila kwa tabia ya huyu jamaa itabd wamwekee masharti mazito.
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Yaleyale ya Shibuda yatajirudia kwa Kafulila. Siungi hoja. Anapaswa kujutia ujinga alioufanya,
   
 4. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yeye mwenywe KAFULILA aje aombe msamaha na siyo sisi tumuombee kwa niaba yake maana baadae anaweza akatugeuka akasema sisi ndio tulimfuata na kumuombea msamaha! Hao wajumbe wengine ni ruksa kujiunga nasi kwani hawana historia ya kuwa ndani ya Chama chetu na baadae wakaanza kutuponda.
   
 5. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  ana mtaji yule. aje tu hamna noumer lakini asigombee ubunge tena kwa tiketi ya CHADEMA. Jimboni kwake atasimama aliyesimama katka uchaguzi wa 2010 kwa tiketi ya chadema. yeye inabidi amsaidie kupiga kampeni. chadema wasirudie kufanya kosa kama la segerea la kumuacha yule mama waliokwisha kumuandaa wakampa nafasi mtu ambaye hajaandaliwa na hajui katiba ya chadema ikoje. ova
   
 6. t

  the preacher Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  hakuna asiyesamehewa! kama atakiri na kuamua basi arudi tu na nadhani chadema kunamfaa kuliko huko alikokuwa
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Kwani aombe msamaha alifanyaje? Mbowe ndio anatakiwa kumuomba msamaha Kafulila kwa kumuita sisimizi
   
 8. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Tatizo la huyu kijana anapenda madaraka mno......anaweza kutuharibia sana,la sivyo inatakiwa apewe onyo ili aendane na mienendo ya CDM
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160

  Huwezi kujua wewe maana wewe ni ccm! Akili zimeshaharibika umebaki na masaburi tu!
   
 10. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  ni mapema sn kutoa tamko lolote! tusubiri hatma yake kwanza!
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Yani yeye isimuume aliyefanya kosa aombe msamaha tujekufanya sisi yasiyotuhusu
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  na wewe unakurupuka tu aliyesema kafulila ni sisimizi ni dr slaa...unakurupuka tu utadhani unaoga nje
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Yani yeye isimuume aliyefanya kosa aombe msamaha tujekufanya sisi yasiyotuhusu. Crap
   
 14. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #14
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kama tatizo CHADEMA ilikua MBOWE NCCR Mageuzi tatizo ni Mbowe!!!?
   
 15. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #15
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Toa hoja ...bado hujanishawishi
   
 16. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...teh teh., labda na huko ni 'uchaga'
   
 17. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  siasa za africa bana!wanafanya mambo bila kuzingatia matokeo
   
 18. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tatizo kijana anatukana mamba kabla hajavuka mto. nakumbuka wakati bunge la kumi linaanza, aliwaponda sana wabunge wa CDM waliposusa hotuba ya rais, akasema yeye anajua dawa ya CDM na wamuachie apambane nao, leo yapo wapi? Kufukuzwa vyama viwili ndani ya muda mfupi si jambo dogo, imeharibu sana CV yake ya kisiasa.

  Lakini bado ni kijana, akae chini atafakari, ama aache siasa, au ajifunze kuwa na uvumilivu na uungwana katika siasa.
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Nashukuru kwa kunisahihisha basi Slaa amuombe msamaha Kafulila
   
 20. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mkuu DC, yote uliyonena ni mema, lakini kumbuka pia kuwa sikio la kufa haliskii dawa
   
Loading...