Tuwaombee Kenya, hali inazidi kuwa mbaya

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Habari wadau

Kwa pamoja Tuwaombee ndugu zetu wa Kenya wanao pitia wakati mgumu kipindi hichi Cha Corona

Wananchi wa Kenya wameshindwa kuvumilia serekali Yao na kuamua kufanya vurugu ikiwa ni moja ya harakati za kuto kukubalia na unyama wanao fanyiwa na viongozi wa nchi yao Kenya na viongozi wake wote wa ngazi za juu wanatakiwa wawasikilize wananchi wao

RAIS Uhuru Kenyatta anaizika Kenya kwa mikono yake miwili, unanii walio mwita Rais wetu huenda ukawa ni unanii wa Rais wao

Pia wapinzani wa TANZANIA mnatakiwa mtuambie mkiwa viongozi wa nchi mtakua mnaongoza nchi kwa matakwa yenu au matakwa ya wananchi?

Maana wananchi wa Tanzania wamerufisha na hatua za Rais Magufuli alizo chukua na ndio walizo ziunga mkono alafu nyie hamtak mnataka njia zenu na si za wananch Sasa Kati ya magufuli na nyie Nan dikteta?

Pia kinachoendelea Kenya kiwe somo kwenu


IMG-20200517-WA0000.jpeg
 
Halafu huku makenya ya mtandaoni yanajitutumua kuwa hali kwao ni shwari. Viongozi wao wanawadanganya na wanatumia hiyo mbinu kuwahadaa wazungu wawape pesa kama NGO za zamani zilivyokuwa zinapiga picha vijijini na kutuma Ulaya kuwa waafrika ni maskini ili wawaibie fedha
 
Hawajui madhara ya wanachofanya wenzetu wakenya, ni heri wakae lockdown kuliko hayo machafuko wanayoanzisha.
corona ni ugonjwa ila bahati mbaya umepewa chart kubwa kimakosa.

landa ndio lilikuwa lengo, hatujui, but rais wetu ana maono ya mbali sana, huyo Mungu anayemuomba ni Mungu wa kweli aisee.
 
Back
Top Bottom