Hii kitu nadhani imeshawahi kuzungumzwa sana hapa JF kama sikosei... Ipo! Lakini si mbaya tena kwa mara nyingine.. Klabu raha leooo... Shoooo!! na Enock Ngombale. Debora Mwenda na Mama na Mwana!!Wandungu,Nimekumbuka sana enzi zile kijijini. Mpira munasikiliza kwenye Radio Tanzania tuu! Na vipinde vingine.. Majira, asubuhi njema, misakato, mchana mwema, club rahaleo show, jioni njema, kahawa ni mali, tuimbe sote nk.......Muna wakumbuka watangazaji hawa?......Endelea........
- Ahmed Jongo
- Salum Mkumba
- Omar jongo
- Christine Chokonogela
- Tumbo Tamimu Risasa
- Salum Mbonde
- Juma Ngondae
- David Wakati
- Julius Nyaisanga
- Abdalla Mlawa
Wandungu,
Nimekumbuka sana enzi zile kijijini. Mpira munasikiliza kwenye Radio Tanzania tuu! Na vipinde vingine.. Majira, asubuhi njema, misakato, mchana mwema, club rahaleo show, jioni njema, kahawa ni mali, tuimbe sote nk.......
Muna wakumbuka watangazaji hawa?
......Endelea........
- Ahmed Jongo
- Salum Mkumba
- Omar jongo
- Christine Chokonogela
- Tumbo Tamimu Risasa
- Salum Mbonde
- Juma Ngondae
- David Wakati
- Julius Nyaisanga
- Abdalla Mlawa
Kuna mmoja alikuwa anaripoti kutoka dodoma anae mkumbuka jina please.
Na huyu jamaa yuko wapi? Alikuwa anaripoti pia toka mstari wa mbele wakati wa vita ya TZ na UG.Ben Kiko
Na huyu jamaa yuko wapi? Alikuwa anaripoti pia toka mstari wa mbele wakati wa vita ya TZ na UG.
Wangine ni Sara Dumba, Mswima Ernest, Abisai Stephen, Debora Mwenda, Lone Lunisho, Ananelea Mkya.
Wale wanaojua spelling halisi wasahahishe tafadhari.
18. Salama Mfamao- 'Wasemavyo Waimbaji'
19. Siwatu Luanda- 'Wakati wa Kazi'
20. Aloysia Maneno -'Chei Chei Shangazi'
21. Elisia Isabula -'Watoto Wetu'
22. Michael Katembo- 'Ngoma Zetu'
23. Bati Kobwa - 'Majira Arusha'
24. Ben Kiko -'Majira Dodoma'
25. Henrick Kilibuda- Mkoa kwa Mkoa
26. Nelly Kidela- External Service
27. Edda Sanga -External Service
28. Jacob Tesha-Habari
29. Abdala Ngarawa -Habari
30. Nasoro Msekeli- 'Ana kwa Ana'
31. Mohamed Ng'ombo- 'Mashairi'
32. Athumani Khalfan -'Mghanii Wetu'
33. Steven Lymo 'Muziki na BP'
34. Nadhir Mayoka -'Mbunu za Kiswahili'
35. Abysai Stephen- Idhaa ya Biashara
36. Halima Kihemba18. Salama Mfamao- 'Wasemavyo Waimbaji'- alishafariki siku nyingi -1994
19. Siwatu Luanda- 'Wakati wa Kazi'
20. Aloysia Maneno -'Chei Chei Shangazi'
21. Elisia Isabula -'Watoto Wetu'
22. Michael Katembo- 'Ngoma Zetu'-ALISHAFARIKI
23. Bati Kombo - 'Majira Arusha'- alishafariki
24. Ben Kiko -'Majira Dodoma'
25. Henrick Kilibuda- Mkoa kwa Mkoa
26. Nelly Kidela- External Service
27. Edda Sanga -External Service
28. Jacob Tesha-Habari
29. Abdala Ngarawa -Habari
30. Nasoro Msekeli- 'Ana kwa Ana'
31. Mohamed Ng'ombo- 'Mashairi'
32. Athumani Khalfan -'Mghanii Wetu'
33. Steven Lymo 'Muziki na BP'
34. Nadhir Mayoka -'Mbunu za Kiswahili'
35. Abysai Stephen- Idhaa ya Biashara
18. Salama Mfamao- 'Wasemavyo Waimbaji'
19. Siwatu Luanda- 'Wakati wa Kazi'
20. Aloysia Maneno -'Chei Chei Shangazi'
21. Elisia Isabula -'Watoto Wetu'
22. Michael Katembo- 'Ngoma Zetu'
23. Bati Kobwa - 'Majira Arusha'
24. Ben Kiko -'Majira Dodoma'
25. Henrick Kilibuda- Mkoa kwa Mkoa
26. Nelly Kidela- External Service
27. Edda Sanga -External Service
28. Jacob Tesha-Habari
29. Abdala Ngarawa -Habari
30. Nasoro Msekeli- 'Ana kwa Ana'
31. Mohamed Ng'ombo- 'Mashairi'
32. Athumani Khalfan -'Mghanii Wetu'
33. Steven Lymo 'Muziki na BP'
34. Nadhir Mayoka -'Mbunu za Kiswahili'
35. Abysai Stephen- Idhaa ya Biashara