Tuwakatae Wahuni Wote

Tuwakatae Wahuni Wote

View attachment 3514553

My people,​

Kwa kila mwanaharakati ambaye anaikosoa Serikali hakika anajua matokeo au madhara ambayo atakutana nayo leo au kesho

Ndio maana comrade Pole pole alijua na alikuwa tayar kulipia gharama hiyo ,kuonyesha kwamba alikuwa tayari kwa lolote litakalo mkuta akaamua kubakia hapa hapa hali akijua usalama wake hauko asilimia Mia moja,na kweli kilichotokea wote tunakijua

Nini nataka kusema hapa, mwanaharakati yoyote yule awe ndani ya nchi au nje ya nchi basi vita yake na Serikali isimfanye mwananchi wa kawaida akashindwa kuendesha maisha yake ya kila siku,akashindwa kujifanyia shughuli zake za kiuchumi ambazo zinamfanya apate mkate wake wa kila siku na familia yake

Wanaharakati wengi tena hawa waliopata hifadhi nchi jirani au kwengine kokote kule,wao wanafadhiliwa na maisha yao yanaendelea kama kawaida,lakini wanataka sisi tuache shughuli zetu za kutuingizia kipato na kucheza nyimbo zao kuikomboa nchi kwa njia ambayo sio salama na kuyaweka maisha yetu rehani.

Wanatanzania hakuna shujaa kwenye kuhatarisha maisha yako,kudhibitisha hili ndio maana wao wapo huko nyuma ya keyboard kazi yao ni kutuhamasisha kuhatarisha amani ya nchi yetu pendwa Tanzania

Wao wanathamini uhai wao ndio maana wamekimbia nchi hii kulinda uhai wao,lakini wanataka sisi kuweka uhai wetu mashakani,hapana inatosha sasa,tuseme hapana kwa hawa Wanaharakati,kama kweli wana mapenzi na sisi waje hapa Tanzania na wawe front line tuandamane pamoja,tupigwe virungu pamoja,tupigwe risasi pamoja na tuwekwe selo pamoja

Gen Z you have got a lot of life a head of you,una ndoto nyingi za kutimiza lakini usikubali kuwaste your life In the name of kuikomboa Tanganyika, hatuna nchi inaitwa Tanganyika bali tuna nchi inaitwa Tanzania,kwahiyo usipiganie kitu ambacho hakipo now, bali pigania Amani ya Tanzania ambayo ndio urithi wetu

Amani ndio tunu au zawadi muhimu ambayo kila mtanzania anatakiwa kuilinda kwa wivu mkubwa sana,yoyote ambaye kwa namna moja au nyingine anataka kuhatarisha Amani yetu huyo ni adui yetu mkubwa ama awe kiongozi wa Serikali,Dini au kikundi chochote cha watu,tuseme hapana kwa watu hawa,hawana nia nzuri na Taifa letu

Ungana na Team Amani kupambana bila kuchoka na waovu na wahuni wote ambao hawana nia njema na TANZANIA YETU

Tutaelewana tu mdogo mdogo

Ni hayo tu!!
Kwahiyo baada ya kuuliwa polepole ndiyo nchi imetulia? Amani imepatikana? Watu hawatekwi tena? Utateka na kuua wangapi? Tangu waanze kuua wanaharakati kina Bensaanane miaka 9 iliyopita wameona ni njia sahihi ya kunyamazisha watu?
 
Binafsi sipendezwi na utekaji kabisa ila sasa nitafanyeje,unafikir sitamani kuandika dhidi ya serikali?

Ila navalue my life zaidi I have got my family to take care,wanasema kunguru muoga huficha mbawa zake

Pinga serikali kwa utashi wako na ukipatwa na lolote usimlaumu mtu
Basi ni kheri uwaache wanaofanya hivyo maana wanakulindia familia yako kwa kusacrifice maisha yao na sio kuwajaza uoga, hofu na propaganda za amani feki kumbe wewe unahofia familia yako.
 
Kwahiyo kwa sasa hivi ni sahihi kushikilia raia kwenye vituo vya polisi bila kuwapeleka mahakamani sio, ni sahihi kuua raia na kupoteza miili yao ndugu zao wasipate fulsa ya kuwazika sio?

Wananchi wameamua kukataa huo ujinga.
Hayo yote sio sahihi kabisa, je utatumia nguvu kuibadilisha hiyo hali kwa njia ya maandamano au kuvunja amani ya nchi?
 
Kuna njia nyingi salama za kudai haki lakini huwezi kufanya siasa za hatari etu uonekane jasiri huo ni ujinga,ndio maana wanaharakati wahuni wamekimbia nchini kwa kuhofia uhai wao,je wao sio waoga?

Think big
Mkuu njia salama ni ipi??
Na mtu kama Polepole, Gwajima hao wametumia njia gani isiyo salama??

Wewe njia salama unayoona ni ipi?
 
Basi ni kheri uwaache wanaofanya hivyo maana wanakulindia familia yako kwa kusacrifice maisha yao na sio kuwajaza uoga, hofu na propaganda za amani feki kumbe wewe unahofia familia yako.
Hawalindi familia yangu wala yako sanasana wanaharibu amani ya kila mtanzania

Mfano mzuri ni matukio baada ya tar 29 Oct nini kilitokea?
 
Kuna njia nyingi salama za kudai haki lakini huwezi kufanya siasa za hatari etu uonekane jasiri huo ni ujinga,ndio maana wanaharakati wahuni wamekimbia nchini kwa kuhofia uhai wao,je wao sio waoga?

Think big
Njia zote kwa Tanzania zimeshatumia na zimefeli labda upendekeze nyingine.

Na kwenye vita usifikiri wote mtakua front hamtashinda hyo vita lazima kuna strategists ambao hutawaona front ila ndio wanafanikisha ushindi

Hata wanaotumika na serikali kulinda hiyo amani feki ni watoto wa maskini na wanaolipwa vijiposho kidogo tu, huwezi muona Samia front akizuia maandamano
 
View attachment 3514553

My people,​

Kwa kila mwanaharakati ambaye anaikosoa Serikali hakika anajua matokeo au madhara ambayo atakutana nayo leo au kesho

Ndio maana comrade Pole pole alijua na alikuwa tayar kulipia gharama hiyo ,kuonyesha kwamba alikuwa tayari kwa lolote litakalo mkuta akaamua kubakia hapa hapa hali akijua usalama wake hauko asilimia Mia moja,na kweli kilichotokea wote tunakijua

Nini nataka kusema hapa, mwanaharakati yoyote yule awe ndani ya nchi au nje ya nchi basi vita yake na Serikali isimfanye mwananchi wa kawaida akashindwa kuendesha maisha yake ya kila siku,akashindwa kujifanyia shughuli zake za kiuchumi ambazo zinamfanya apate mkate wake wa kila siku na familia yake

Wanaharakati wengi tena hawa waliopata hifadhi nchi jirani au kwengine kokote kule,wao wanafadhiliwa na maisha yao yanaendelea kama kawaida,lakini wanataka sisi tuache shughuli zetu za kutuingizia kipato na kucheza nyimbo zao kuikomboa nchi kwa njia ambayo sio salama na kuyaweka maisha yetu rehani.

Wanatanzania hakuna shujaa kwenye kuhatarisha maisha yako,kudhibitisha hili ndio maana wao wapo huko nyuma ya keyboard kazi yao ni kutuhamasisha kuhatarisha amani ya nchi yetu pendwa Tanzania

Wao wanathamini uhai wao ndio maana wamekimbia nchi hii kulinda uhai wao,lakini wanataka sisi kuweka uhai wetu mashakani,hapana inatosha sasa,tuseme hapana kwa hawa Wanaharakati,kama kweli wana mapenzi na sisi waje hapa Tanzania na wawe front line tuandamane pamoja,tupigwe virungu pamoja,tupigwe risasi pamoja na tuwekwe selo pamoja

Gen Z you have got a lot of life a head of you,una ndoto nyingi za kutimiza lakini usikubali kuwaste your life In the name of kuikomboa Tanganyika, hatuna nchi inaitwa Tanganyika bali tuna nchi inaitwa Tanzania,kwahiyo usipiganie kitu ambacho hakipo now, bali pigania Amani ya Tanzania ambayo ndio urithi wetu

Amani ndio tunu au zawadi muhimu ambayo kila mtanzania anatakiwa kuilinda kwa wivu mkubwa sana,yoyote ambaye kwa namna moja au nyingine anataka kuhatarisha Amani yetu huyo ni adui yetu mkubwa ama awe kiongozi wa Serikali,Dini au kikundi chochote cha watu,tuseme hapana kwa watu hawa,hawana nia nzuri na Taifa letu

Ungana na Team Amani kupambana bila kuchoka na waovu na wahuni wote ambao hawana nia njema na TANZANIA YETU

Tutaelewana tu mdogo mdogo

Ni hayo tu!!
Pole pole yupo ni imani yangu hajafa, hata kama amekufa nani ataushi milele, vijana wangu wamepotea 29,October why Mungu hakutaka nipoteza mie ,aninicha wa nini ili hali nimeonja mabaya na mema ya nchi hii.

Kila mtu atakufa tu ni swala mda tu
 
Hawalindi familia yangu wala yako sanasana wanaharibu amani ya kila mtanzania

Mfano mzuri ni matukio baada ya tar 29 Oct nini kilitokea?
Wanalinda na yako pia, siku ya tareh 29 mpaka tareh 3 waliokua wahanga ni watu wengi wewe ukiwemo.

Kukemea, kuonya na kushauri kuhusu hayo kwako unaona kama ni ugaidi na kuhatarisha amani.

Wewe unafurahia mtu akisifia uongo, akifurahia watu kuuawa, kutekwa na kubambikwa kesi mbalimbali ukidai waliyataka wayapatayo ilhali sio wote waliopata madhira walistahili hayo.

Kuna baadhi ya hoja za wanaharakati siungani nazo naona ni za hovyo na za kupuuzwa ila hoja zenu nyie "watetea amani" ni za hovyo almost zote, nyingi ziko nje ya ubinadamu na hiyo amani mnayohubiri.
 
Kwa mentality ya kibinafsi ya Mwafrika mwenye asili ya Kitanzania wa Karne ya 21 sidhani hata kina Mandela na Mugabe waliokimbilia hapa Tanzania wakiwa wanapambania na wakoloni nchini mwao wangeeleweka
Kuna maneno wazungu wamewahi kutamka "good times create weak men", yaani "nyakati nzuri zinatengeneza wanaume wadhaifu"; kwa mentality ya aliyeandika Uzi huu naona anaishi ndani ya uhalisia huu
 
Ndo nikuulize wewe kwa akili zako hizo za mkopo kwanini tanganyika haipo? wakati zanzibar ipo ina bendera na wimbo wao wa taifa la zanzibar pamoja na serikali yao ya mapinduzi! au we hujuwi kuwa tanganyika na zanzibar baada ya kuungana ndipo ikapatikana tanzania! bi maana bila muungano kusingekua na tanzania, usitake kulitumia jina tanzania kama la kwako pekee yako hilo ni jina la kimuungano mpuuzi wewe.
 
Toka uachike na mumeo wa kimasai hujamove on unahisi watanzania wote tuna trauma km wewe..!!
 
Ndo nikuulize wewe kwa akili zako hizo za mkopo kwanini tanganyika haipo? wakati zanzibar ipo ina bendera na wimbo wao wa taifa la zanzibar pamoja na serikali yao ya mapinduzi! au we hujuwi kuwa tanganyika na zanzibar baada ya kuungana ndipo ikapatikana tanzania! bi maana bila muungano kusingekua na tanzania, usitake kulitumia jina tanzania kama la kwako pekee yako hilo ni jina la kimuungano mpuuzi wewe.
Ebu chill kwanza halafu uandike tena,sioni hata hoja ya kujibu hapo,umeandika kwa kukurupuka sana

Nyoosha maelezo nikunyooshe vizur
 
Kwa mentality ya kibinafsi ya Mwafrika mwenye asili ya Kitanzania wa Karne ya 21 sidhani hata kina Mandela na Mugabe waliokimbilia hapa Tanzania wakiwa wanapambania na wakoloni nchini mwao wangeeleweka
Kuna maneno wazungu wamewahi kutamka "good times create weak men", yaani "nyakati nzuri zinatengeneza wanaume wadhaifu"; kwa mentality ya aliyeandika Uzi huu naona anaishi ndani ya uhalisia huu
Sina cha kujadili na wewe hapa,naona unaleta porojo tu hapa
 
View attachment 3514553

My people,​

Kwa kila mwanaharakati ambaye anaikosoa Serikali hakika anajua matokeo au madhara ambayo atakutana nayo leo au kesho

Ndio maana comrade Pole pole alijua na alikuwa tayar kulipia gharama hiyo ,kuonyesha kwamba alikuwa tayari kwa lolote litakalo mkuta akaamua kubakia hapa hapa hali akijua usalama wake hauko asilimia Mia moja,na kweli kilichotokea wote tunakijua

Nini nataka kusema hapa, mwanaharakati yoyote yule awe ndani ya nchi au nje ya nchi basi vita yake na Serikali isimfanye mwananchi wa kawaida akashindwa kuendesha maisha yake ya kila siku,akashindwa kujifanyia shughuli zake za kiuchumi ambazo zinamfanya apate mkate wake wa kila siku na familia yake

Wanaharakati wengi tena hawa waliopata hifadhi nchi jirani au kwengine kokote kule,wao wanafadhiliwa na maisha yao yanaendelea kama kawaida,lakini wanataka sisi tuache shughuli zetu za kutuingizia kipato na kucheza nyimbo zao kuikomboa nchi kwa njia ambayo sio salama na kuyaweka maisha yetu rehani.

Wanatanzania hakuna shujaa kwenye kuhatarisha maisha yako,kudhibitisha hili ndio maana wao wapo huko nyuma ya keyboard kazi yao ni kutuhamasisha kuhatarisha amani ya nchi yetu pendwa Tanzania

Wao wanathamini uhai wao ndio maana wamekimbia nchi hii kulinda uhai wao,lakini wanataka sisi kuweka uhai wetu mashakani,hapana inatosha sasa,tuseme hapana kwa hawa Wanaharakati,kama kweli wana mapenzi na sisi waje hapa Tanzania na wawe front line tuandamane pamoja,tupigwe virungu pamoja,tupigwe risasi pamoja na tuwekwe selo pamoja

Gen Z you have got a lot of life a head of you,una ndoto nyingi za kutimiza lakini usikubali kuwaste your life In the name of kuikomboa Tanganyika, hatuna nchi inaitwa Tanganyika bali tuna nchi inaitwa Tanzania,kwahiyo usipiganie kitu ambacho hakipo now, bali pigania Amani ya Tanzania ambayo ndio urithi wetu

Amani ndio tunu au zawadi muhimu ambayo kila mtanzania anatakiwa kuilinda kwa wivu mkubwa sana,yoyote ambaye kwa namna moja au nyingine anataka kuhatarisha Amani yetu huyo ni adui yetu mkubwa ama awe kiongozi wa Serikali,Dini au kikundi chochote cha watu,tuseme hapana kwa watu hawa,hawana nia nzuri na Taifa letu

Ungana na Team Amani kupambana bila kuchoka na waovu na wahuni wote ambao hawana nia njema na TANZANIA YETU

Tutaelewana tu mdogo mdogo

Ni hayo tu!!
Amani ya nchi ni ccm kubaki madarakani kwa shuruti? Naona unataka kutuuzia uoga. Kama mlitarajia watanzania wote watabaki waoga siku zote, basi mmeukalia, na msiombe tukamate silaha za moto, mbona mtafurahia show na familia zenu?
 
Kuna njia nyingi salama za kudai haki lakini huwezi kufanya siasa za hatari etu uonekane jasiri huo ni ujinga,ndio maana wanaharakati wahuni wamekimbia nchini kwa kuhofia uhai wao,je wao sio waoga?

Think big
Ni njia ipi ya kistaarabu ya kudai haki haijawahi kitumuka ndani ya nchi hii, ama mlidhani mnaongoza maiti? Hapo bado hamjasema, utaleta nyuzi zote za kuuzia watu uoga, lakini uoga umekataa. Ni silaha tu za moto tunakosa, ila mtacheka kichina siku tukizipata.
 
Sahihi , Everything has a price to pay .

Mimi huwa naamini MTU makini huwa anafanya calculation MOVE

Kuwa endapo ni kifanya Kazi ya ualimu

-Sitotajirika
-nitalipwa mshahara mdogo
-nitakuwa na madeni
-na sitomiliki vitu vikubwa.

Kwahiyo ukiona MTU ni Mwalimu analalamika kuhusu madeni n.k

Basi ujue ,yeye ndo Ana makosa na sio waliompa Kazi .

The same to these politicians and activists , they know everything kuwa , kuna kuua, kuuliwa , kutekwa ,kuteka , kuumiza na kuumiza , kupeana sumu n.k

JPM alipewa SUMU
Makonda alisema alipewa sumu
Mangula the same
Lissu gunned
Soka , kidnapped
Sativia injured

The list is endless.

Ikiwa unajua you can't pay that price bora usifanye siasa wala kujihusisha nazo.

Ni mambo ya kushangaza kuona MTU analalamika kuwa kaumizwa katikati ya mchezo aliouchagua

Ila VIJANA hawaelewi haya mambo wao wanafikiri siasa ni jambo jepesi kwakuwa wanaona Akina Joel Nanauka wanatembelea Magari Makali

Ila wanasahu how many people have been killed , poisoned, arrested, imprisoned and other are surviving under ♿

Niggger ! Calculate ur MOVE before you join any movement.

Personally I Vowed my self I will
never play someone's GAME.
 
Back
Top Bottom