Tuwakatae Maaskofu wa aina ya Gwajima

Tuwakatae Maaskofu wa aina ya Gwajima

Bishop Gwajima Umewaka Kumbukumbu Sawa
Hii Ccm Inawauma Pia Hujapendelea Ukawa Wala Ccm
Umeweka Mambo Sawa
Magamba Yanajiuwa Yenyewe
 
Jifunze kutoa maoni, sio amri! Unatuamuru tumkatae Gwajima, wewe Kama nani, kwa mamlaka gani ya kimaadili kuliko Gwajima, na madaraka gani ya kiuwakilishi?! Gwajima ana ufuasi Wa roho za watoto Wa Mungu zaidi ya elfu 70, je wewe katika dunia yako Una watu wangapi wanaokusikiliza na kukuamini Kama mtu Wa kutumainiwa nje ya mzunguko wako Wa ndugu na rafiki zako Wa karibu?!

Unafikiri watu Elf 70 waumini Wa Gwajima hawana uwezo, utashi na haki ya kujiamulia wakipendacho na wakaridhika mpaka wewe uwaamulie cha kufanya?!?!? Wacha hizo, mkatae kivyako au jaribu mkakati mwingine, stop being judgemental and holier than Thou!
 
Babu kayataka haya yote....wakati mnantuma mlijua mumecheza bonge la dili ss ngoma imebackfire...........mumemuingiza babu kwenye mambo ya kijinga. Cz angeweza kustaafu na kuonekana shujaaa.....ila ss kwakuwa nyie ndo mumemlipa bas mkajifanya mnajua kumchagulia na wimbo wa kupiga.
 
Alipozungumza Dr. Slaa mlifurahi sana na mkataka aendelee kusema na mengine. Sasa wanaojua ukweli wa mambo wamesema mumeona haitakiwi hapa sijawaelewa kabisa!

Dr.Slaa katika mazungumzo yake alimtaja Gwajima na ndiye kamjibu ili naye kujisafisha kwa umma tatizo lake nini Watanzania?

Aliwataja maaskofu wakatoliki pia, umesikia wakisasambua? Maadili ya kiaskofu na ya mwanasiasa ni tofauti, ndivyo ilivyo pia kwenye majukumu yao
 
Nimeipenda hii, tayari ile single ya dokta Slaa ishasahaulika baada ya ingizo jipya la wimbo wa Gwajima
 
Mbona slaa mmemsafirisha?? Mlipieni press conference tena akachokonoe moto.. Hana fadhila, mzee unalindwa unapikiwa, boss unamwita mshenga?????
 
Mbona slaa mmemsafirisha?? Mlipieni press conference tena akachokonoe moto.. Hana fadhila, mzee unalindwa unapikiwa, boss unamwita mshenga?????
Hahaaaa WANAFKI hawa wanatamani vyao SIO vinavyosema ukweli
 
Hivi baada ya Gwajima kumaliza kuongea na wanahabari, haukuwekwa wimbo wa CCM, maana siku ile ameongea Dr Slaa waliweka wimbo ccm mbele kwa mbele. hahahahaha!
 
Ameyaongea anayoyaamini,nimpa tano zangu za nguvu kwa kuwa imara kuweka ukweli kwa jamii,sio yule anaejiita padri
 
Mimi hawa maaskofu style ya gwajima nilishawatupa mbali sana

Ni askofu maslahi, sawa na mwingira na wake za watu, au kakobe na nguvu za giza... achilia mbali wale wauza poda wengine wa hizi dhehebu za commercial

Pamoja na hayo, bado naamini kabisa CCM out!!
It is very unfortunate likija suala la mtu ambaye yuko associated na UKAWA basi lolote atakalosema hata kama si sahihi basi ni sawa. Yaani mashabiki wake wana-lose sense kabisa na kutetea jambo hata kama ni baya. Kwa kweli Serekali imekuwa loose kwa baadhi ya mambo kwa madai eti ni kuingilia masuala ya Dini. Serekali inahitaji kuwa-protect watu wake kutoka kwa manabii matapeli kama huyu. Wanatumia matatizo ya watu kuwapokonya bila huruma hata kidogo walichonacho.
 
Haukubaliani na maaskofu wa jinsi ya Gwajima lakini unakubaliana na mapadri wa jinsi ya Slaa!!! Mapadrii wanaoasi viapo vyao na kuoa na kuzaa na kutelekeza familia zao bila aibu si ndiyo? Wewe ndiwe haswa Gamba mwana wa Gamba!!!
 
On the contrary, tunawahitaji maaskofu wa aina ya Gwajima. Hakuna mambo ya ''ukinipiga kofi shavu la kushoto, nakupa na la kulia upige tena''. Tunawahitaji Maaskofu wenye uthubutu wa kutoka hadharani na kujibu mapigo once upotoshwaji unapofanywa kwa makusudi. Kama Mr. Slaa asingelianzisha (na kumtaja), askofu Gwajima asingefunguka. Simple.
 
Gwajima yuko sahihi

Hakika kiongozi,yule padri feki alitaka kuwachonganisha waumini wakatoliki,waprotestanti,walokole na viongozi wao wa dini,kiasi ambacho kingepelekea hata ndug zetu waislamu kujisikia vibaya kama wakristo wanawaamulia,alicho kiongea yuko sawa kabisa ss tunarudi kweny hali ya kawaida....
 
Back
Top Bottom