Al gator
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,029
- 566
Magamba mbona mnaweweseka au ndio dawa imeingia!? Mimi binafsi sio muumini wa Gwajima na wala si sali kwake ila nina mkubali kwa kusimamia kile anacho kiamini na kuto kuyumbishwa yumbishwa na yeyote. By the way mtu halazimishwi kusali au kuamini chochote ni yeye na utashi wake, ila inashangaza kwa kila msema kweli ni adui wa CCM hata maaskofu wengine walivyo mkanya Sitta kuhusu katiba mpya naye aliwa kashfu.