Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,896
- 4,495
Ni kweli haujui au unataka ''kutukoga'' tu ?Hivi bashiru na kabudi wana Ph.D za vitu gani?
Ni kweli haujui au unataka ''kutukoga'' tu ?Hivi bashiru na kabudi wana Ph.D za vitu gani?
Huwezi kusoma telecom kwenye electrical eng haiwezekani.Wamesema hiyo computer Engineering wataisoma kwenye Electrical Engineering
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu, mtoa mada kwa kujua au kwa kutokujua, amepotosha kilichofanyika huko Makerere Uganda.Unaposema wamefuta unapotosha ndugu yangu.
Hapo wameziunganisha zile zinazoendana..
ndio mzee maake hii course imejaa design kibao za anttena na other staffs za mawasiliano kama sattellite amabazo kwa africa bado sanaa aisee hii course ipo kwa ajili ya kutambiana tu kuanzia ma lecturer hadi wanafunzi mimi nimesoma hii kitu na elewa vizuri now nipo kazini na watu wa CS tunajenga taifaTelecommunication Engineering, uifute?
Sasa si bora kuliko tuendelee kuwa empty, wacha turithishane ujuzi hivyo hivyo hadi siku tutakapoweza kuitumia hio knowledgendio mzee maake hii course imejaa design kibao za anttena na other staffs za mawasiliano kama sattellite amabazo kwa africa bado sanaa aisee hii course ipo kwa ajili ya kutambiana tu kuanzia ma lecturer hadi wanafunzi mimi nimesoma hii kitu na elewa vizuri now nipo kazini na watu wa CS tunajenga taifa
OVA
Chuo gani inatolewa? SUA hakuna hii kitu.Kuna degree ya ufugaji wa nyuki ingekuwa ya kwanza kufutwa hapa.
mkuu lakini asali inapanda bei kila sikuKuna degree ya ufugaji wa nyuki ingekuwa ya kwanza kufutwa hapa.
Hii Bachelor in Community of Development (CoD) inahusu nini? Na inatolewa na chuo gani?Kuna kama hii ya mwalimu Nyerere wangeanza nayo sioni tofauti kati ya
Barchelor in MANAGEMENT AND SOCIAL DEVELOPMENT (MSD) sioni tofauti na wanaosoma Barchelor in COMMUNITY OF DEVELOPMENT (COD)
Sijasema ifutwe bali kozHuwezi kufuta Bachelor Degree in Human Resource Management. Labda uwe hujui umuhimu wake.
Tengeru (TICD), na SUA morogoro.Hii Bachelor in Community of Development (CoD) inahusu nini? Na inatolewa na chuo gani?
Kama ulisoma Telecom basi ulitoka kapa class!!! Yani 4 years za Telecom umeishia kwenye satelite? Tv engineering? Networking, signal processing? Ujamgusa Shannon? Yani hata sikuelewi....ndio mzee maake hii course imejaa design kibao za anttena na other staffs za mawasiliano kama sattellite amabazo kwa africa bado sanaa aisee hii course ipo kwa ajili ya kutambiana tu kuanzia ma lecturer hadi wanafunzi mimi nimesoma hii kitu na elewa vizuri now nipo kazini na watu wa CS tunajenga taifa
OVA
Ha ha haaaaaa, mkuu hilo jina la kozi ndilo umeniacha hoi "Bachelor in Community of Development" wewe ulishaisikia kozi ya hivyo?Tengeru (TICD), na SUA morogoro.
Hii ina deal na maswala yote yanayohusu kuketa mabadiriko positive katika jamii kuanzia kuhamasisha wananchi, kuabiri mindset zao, kupanga, nk . hawa ndio maafisa maendeleo ya jamii wa mitaa, vijiji, kata, tarafa na wilaya/halmashaul, pia kwenye mashirika
Ni typing error tu hyo ila community development wenda kajisahauHa ha haaaaaa, mkuu hilo jina la kozi ndilo umeniacha hoi "Bachelor in Community of Development" wewe ulishaisikia kozi ya hivyo?
Wewe mataga wa lumumba unataka nani aamini hii porojo yako hapa?Kuna digrii ambazo hazina maana yoyote kwa wakati wa sasa.
Chuo kikuu cha Makerere kimefuta degree courses zifuatazo
Scrapped courses
Bachelor of Science in Horticulture
Bachelor of Science in Human Nutrition
Bachelor of Science in Meteorology
Bachelor of Science in Wildlife Health and Mgt.
Bachelor of Adult and Community Education
Bachelor of Agricultural Extension Education
Bachelor of Arts in Development Economics
Bachelor of Community Psychology
Bachelor of Development Studies
Bachelor of Industrial and Organizational Psychology
Bachelor of Science in Business Statistics
Bachelor of Science in Conservation Biology
Bachelor of Science in Telecommunication Engineering
Bachelor of Science in Quantitative Economics
Bachelor of Agricultural and Rural Innovation
Bachelor of Library and Information Sciences.
Bachelor of Archives and Record Management
Bachelor of Science and Constructive Management
Bachelor of Computer Engineering.
Kwa mfano?Kuna degree zinatolewa Tanzania, especially UDSM,sua, mzumbe, zinatakiwa zifutwe hazina tija kwà wakati huu
HAAA mkuu Claude shannon mkuu umedesign receiver au transmitter ngapi mpaka sasa kaka kote nimepita umoo nasija toka kapa, kwa swali la pili software engineering kwa mtu ambae yuko serious unaweza tumia mpka 70% ya knowlegde unayopata chuo design nyingi ya telecom zinakua designed kwenye software tools. Vijana wengi mtaani wana andika code na mtaani wanaishi safi safiKama ulisoma Telecom basi ulitoka kapa class!!! Yani 4 years za Telecom umeishia kwenye satelite? Tv engineering? Networking, signal processing? Ujamgusa Shannon? Yani hata sikuelewi....
Nitajie course ambayo TZ utatumia ujuzi 100% au hata 50% hizi za engineering...
Mtoa Mada usipotoshe jamii, eleza vizuri kuwa hizo Program zimefutwa baada ya kuunganisha Programs zinazoendana na sio kusema hazina maana au tijaKuna digrii ambazo hazina maana yoyote kwa wakati wa sasa.
Chuo kikuu cha Makerere kimefuta degree courses zifuatazo
Scrapped courses
Bachelor of Science in Horticulture
Bachelor of Science in Human Nutrition
Bachelor of Science in Meteorology
Bachelor of Science in Wildlife Health and Mgt.
Bachelor of Adult and Community Education
Bachelor of Agricultural Extension Education
Bachelor of Arts in Development Economics
Bachelor of Community Psychology
Bachelor of Development Studies
Bachelor of Industrial and Organizational Psychology
Bachelor of Science in Business Statistics
Bachelor of Science in Conservation Biology
Bachelor of Science in Telecommunication Engineering
Bachelor of Science in Quantitative Economics
Bachelor of Agricultural and Rural Innovation
Bachelor of Library and Information Sciences.
Bachelor of Archives and Record Management
Bachelor of Science and Constructive Management
Bachelor of Computer Engineering.
Mkuu hiyo wengine tunailambia njuluku huku vijijini.Kuna degree ya ufugaji wa nyuki ingekuwa ya kwanza kufutwa hapa.