Tuwahurumie Graduates, Hakuna Mwanasiasa wa kuwatetea Vijana waliomaliza Chuo

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,554
2,000
Umefanya self praise.

Ulichoandika ni completely out of Content, out of proportional...
That is real situation

Hili ni tatizo kubwa sana kwa vijana wa sasa, Vijana ukiwapa kazi hata ndani ya Chama hawataki neno kutembelea vijijini ila ukisema kuna Safari ya China kila wakati utasikia Boss Pole na kazi

Sio Self Praise huu ndio uhalisia

Kama una vijana wamemaliza chuo au ndugu zako nita ku PM uniletee waje wajitolee kwa miezi mitatu tu, Wengi tumewajaribu lakini wavivu sana sana, Pesa wanataka kujifunza hawataki
 

Kong Chi

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
673
1,000
Katiba ya sasa hairuhusu innovations, imagine unalima then serikali inakupangia bei na inakuzuia kuuza nje ya nchi, kuna biashara nyingi sana bongo huwezi kuruhusiwa kufanya maana wamepewa monopoly wahindi na matajiri
 

Kong Chi

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
673
1,000
Hawahitaji huruma wapigane kama wengine, tena ni vijana wana nguvu wadai katiba mpya na waache kuipigia kura CCM maana umaskini wote wa Tanzania wa kulaumu ni CCM
 

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,006
2,000
Katiba ya sasa hairuhusu innovations, imagine unalima then serikali inakupangia bei na inakuzuia kuuza nje ya nchi, kuna biashara nyingi sana bongo huwezi kuruhusiwa kufanya maana wamepewa monopoly wahindi na matajiri
Utasingizia kila kitu katiba katiba. Hizi siasa za vyama zimeku-brainwash akili kabisa.
 

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,006
2,000
Endelea kujidanganya tuu, hiyo katiba usipokuwa mwizi hutoboi, utakula tope mpaka ufe
Sawa endelea kusubiri katiba mpya ndio utoboe. Utawasimulia mpaka wajukuu zako kuwa katiba ndio imekukwamisha.

Ila Lema, Mbowe, Lissu, Msigwa, Heche wao wametoboa na kutajirika chini ya katiba hii hii mbovu na utawala wa CCM.

Akili kichwani.
 

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
3,209
2,000
Maisha yanaenda kasi sana na yamebadilika sana, Leo vijana wanaosoma chuo wanaona aibu kubeba bahasha ya kaki barabarani

Enzi zetu kusoma chuo ilikuwa ni sifa kubwa sana, Haikuwa rahisi kufaulu mitihani ya form six au Form four hata kidogo

Wale waliofauli form six bado kama walijiunga na chuo Kikuu cha Dar es Salaam walikutana na mitihani mungine uliitwa "University Matriculation Test" na hapo ukifeli unatupwa nje na Division yako One

Majina ya matokeo ya mitihani yetu yalibandikwa live kwenye magazeti kila mtu anakusoma umepata alama gani sio kama Leo tunakutana na namba tu za mtahiniwa bila jina

Mimi binafsi Nilipata kazi nikiwa mwaka wa pili chuo Kikuu, Nilienda interview kwa kujiamini bila hofu kuwa sijamaliza chuo, Niliamua kutoogopa baada ya kuona Rafiki yangu amepata kazi taasisi nzuri huku tukiwa tunasoma wote mwaka wa pili chuo kikuu

Niliulizwa maswali na Panel ya watu kumi huku wote wakinibana nikifeli chuo itakuwaje kwani sina matokeo hata ya mwaka wa pili mkononi na wala hata barua tu sina bali nina Provisional Results ya First year na nilikuwa na GPA ya kawaida sana sana

Nilielezea mambo kwa upana mpaka HR pamoja na Department inayohitaji mtu wakauliza kama nimewahi fanya kazi hiyo nikiwa shule ya msingi au sekondari nikawajibu hapana, Wakauliza wewe Kijana mdogo Haya mambo ya ofsini uliyajua wapi?

Out ya vipengele kumi nilivyoulizwa Nilishindwa swali moja tu ambalo ni

Je? unataka tukulipe kiasi gani cha mshahara kwa mwezi. Hili suala nilivurunda hasa kwani sikuwahi Fikiri kuna swali kama hilo, Mimi nilijibu tu kuwa Nyie kama taasisi mnataratibu zenu za mishahara na scale zenu hivyo kwa mtu kama mimi na uwezo nilionao itatokana na utaratibu wenu, Hapa nilichemka na nikapewa marks za hovyo

Baada ya kumaliza chuo nikafanya kazi kwa mwaka mmoja nikaambiwa sasa andika Application letter vizuri ya kazi ili tuweke kwenye faili lako

Uwezo wetu wa kujiamini huwezi kufananisha na vijana wa sasa, Uwezo wetu wa kufikiri mambo ulitanuka na kubadilika sana pale tu ukifika Form Six

Enzi hizo hakuna Spoon feeding, Hakuna madesa wala vitini, Shule ni shule, Ni kusoma vitabu haswa na kuelewa concept

Turudi kwenye lengo la uzi

Mosi, Vijana wa sasa wapo vyuo vikuu hawawezi hata kuunganisha sentensi mbili za Kiingereza na anasoma masomo ya Sanaa au biashara sio engineering, Wachache wapo vizuri

Pili, Wale bright ambao ni wachache sana na wanaajiriwa na kuajirika vizuri hatuna shida nao, Wengi wanatumia simu zao kuangalia picha Instagram, na Facebook

Mwanachuo kwa sasa simu inamsaidia kuangalia umbea, Picha za wema Sepetu, Habari za Mange kimambi na Diamond Platinum, Simu zao wapo bize kuangalia picha tu,

Mwanachuo kwa sasa atajibana matumizi sana na nawapongeza kwa hilo, Lakini lengo la kujibana matumizi ni apate simu ya toleo jipya na la kisasa kwa ajili ya kuangalia picha na kuonyesha watu, Hawajui kazi zingine za simu


Wanasiasa wanaelewa kinachoendelea kwenye elimu yetu kwa sasa ndio maana wapo kimya sana

Kuna sera kama Big Results Now au BRN zimetengeneza wanafunzi wenye uelewa mdogo sana

Sera za kulenga kufaulu sasa wanafunzi hawasomi bali wanafanya maswali ya kujibu mitihani, Hii umejenga uelewa mdogo sana

Vijana wachache wako vizuri kwa sasa, Wengi ya wanachuo kuna kazi kubwa ya kufanya
Mama katika hutuba yake alieleza kuwa uwekezaji wa ndani na kutoka nje utazalisha ajira 43 elfu. Hapo ni pamoja na wasomi wetu. Zaidi ya hapo ujenzi wa madarasa na zahanati unaoendelea nchini utaendana sambamba na ongezeko la Ajira. Mipango ya kuzalisha ajira ni mingi sana, ila vijana wawe makini katika utendaji wao wa kazi maana hizi ni zama nyingine.
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,394
2,000
Hii idea ya kuwanunulia maofisa wa serikali VXR,GXR, V8 kwa nchi maskini kama Tanzania nimeshindwa kuielewa kabisa, dadeki ningekuwa mimi wote wakurugenzi,wakuu wa wilaya etc ingekuwa ni bodaboda tuu na anayetaka V8 akakope bank la kwake
We unafikiri hela zingekuwa wanakopa wao ingekuwa easy kwa wao kununua v8? Mie mfano unipe 100M siwezi kwenda kununua VX V8 ntanunua hata Kluger ya 30M tu yenye 4WD
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,997
2,000
Itakuwaje mbunifu wakati huna senti mfukoni na hakuna yoyote ambaye yuko tayari kukupa mkopo kama mtaji na umetoka katika familia ya kimaskini haijui hata mlo mmoja kwa siku itaupata wapi? Au Wazazi walishatangulia mbele ya haki? 😳

Shida ya watanzania ni kutokuwa wabunifu hata wakitoka vyuoni malengo ni kuajiriwa tu, unatakiwa ufikiri zaidi na kubuni kazi zipo nyingi tu tatizo tunataka kazi za ofisini tu
 

Top leader

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
1,132
2,000
Umeongea pumba ukiachana na experience ulinayo kazi elimu uliyopata ni finyu mno prove me wrong nakumbuka enzi zenu wale wa arts unakuta labsa history kuna maswali 10 unafanya matano na yamepangiliwa mpaka mwisho unachangua matano hamna kipengelee unakuta hata ukisoma topic moja unaweza kufanya matatu sometime

Sasa mambo advanced ni mwafrika tu duniani ndo anaamini watu waliopita walikuwa bora wenzetu wanaamini wakati uliopo na unaokuja patakuwa advanced usijfananishe na kizazi cha sasa kama hutumia ivyo vitu social media ni kwamba haziko kweny career yako usingekuwa na smartphone kachukua nokia jeneza lile ..utumie
Hamna ubora wa wazamani na sio Tanzania duniani mpaka nigeria mpaka panaibuka makundi ya wezi wa mtandao wana elimu kubwa watu wamkuwa wengi ajira hazitoshi nenda utuktane na hao yahoo boys wa nigeria wana elimu IT wanafanya utapeli sana ajira hamna

Leo umekuwa mkubwa unashindwa kucopy na hali ilivyo wanao uliozaa kipind iki utawalea kama zamani kuna vitu watajua zaidi yako
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
25,987
2,000
uchumi upo hoi, hawa graduates waje tujiunge kwenye kilimo cha matikiti na mboga mbonga hapa Dutumi, Mzenga na Kidogozero.
 

Noti bandia

JF-Expert Member
May 3, 2020
971
1,000
Graduates wenyewe wanavikadi vya njano...() wanajiaminisha bila kuwa nayo hawatoboi, Sasa watu kama hao utawasaidiaje zaidi ya kuwaacha maisha yawafundishe
 

Airfryer

Senior Member
Sep 17, 2021
148
500
Umeongea pumba ukiachana na experience ulinayo kazi elimu uliyopata ni finyu mno prove me wrong nakumbuka enzi zenu wale wa arts unakuta labsa history kuna maswali 10 unafanya matano na yamepangiliwa mpaka mwisho unachangua matano hamna kipengelee unakuta hata ukisoma topic moja unaweza kufanya matatu sometime

Sasa mambo advanced ni mwafrika tu duniani ndo anaamini watu waliopita walikuwa bora wenzetu wanaamini wakati uliopo na unaokuja patakuwa advanced usijfananishe na kizazi cha sasa kama hutumia ivyo vitu social media ni kwamba haziko kweny career yako usingekuwa na smartphone kachukua nokia jeneza lile ..utumie
Hamna ubora wa wazamani na sio Tanzania duniani mpaka nigeria mpaka panaibuka makundi ya wezi wa mtandao wana elimu kubwa watu wamkuwa wengi ajira hazitoshi nenda utuktane na hao yahoo boys wa nigeria wana elimu IT wanafanya utapeli sana ajira hamna

Leo umekuwa mkubwa unashindwa kucopy na hali ilivyo wanao uliozaa kipind iki utawalea kama zamani kuna vitu watajua zaidi yako
OK Good

Wewe Jamaa una akili sana kama Newton, Tatizo lako huna pesa tu Halafu ni mshamba sana

Haya badilisha akili zako kuwa pesa ili tukuheshimu

Akili zako zinafikiria mwisho miguuni

Mawazo bila pesa wewe ni mjinga tu

Mleta mada yupo vizuri sana hapa JF kuanzia mambo ya Uchumi mpaka Siasa

Wewe huna kitu mkuu kichwani


Hoja hujibiwa kwa hoja, Mleta mada ametoa hoja

Mosi, Aina ya elimu na vijana wetu

Pili, Mfumo mzima wa ufundishaji vijana wetu

Tatu, Uwezo wa vijana kujieleza kwenye interview kwa sasa

Nne, Uwezo wa vijana kujiamini na kusubiri wanasiasa

Wewe hoja zako ni zipi?
 

Top leader

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
1,132
2,000
OK Good

Wewe Jamaa una akili sana kama Newton, Tatizo lako huna pesa tu Halafu ni mshamba sana

Haya badilisha akili zako kuwa pesa ili tukuheshimu

Akili zako zinafikiria mwisho miguuni

Mawazo bila pesa wewe ni mjinga tu

Mleta mada yupo vizuri sana hapa JF kuanzia mambo ya Uchumi mpaka Siasa

Wewe huna kitu mkuu kichwani


Hoja hujibiwa kwa hoja, Mleta mada ametoa hoja

Mosi, Aina ya elimu na vijana wetu

Pili, Mfumo mzima wa ufundishaji vijana wetu

Tatu, Uwezo wa vijana kujieleza kwenye interview kwa sasa

Nne, Uwezo wa vijana kujiamini na kusubiri wanasiasa

Wewe hoja zako ni zipi?
utakuja kuliwa matako ukiwa na uchum ndo nan nakosoa hata billgates punguza shobo na umaskini wako uliambiwa wapi mi natafuta jira au nililia shida

ana hoja gani hapo anaongea ujinga uzee unamsumbua kam anakulisha ni wewe na ho wanaongelea siasa ndo wengi vichwa maji


kwa hiyo watu wa zamani ndo wanajua kujielezea kweny interview kuwa na akili punguza ushamba uliona wapi watu wa zamani wote ndo wanajua

mnaongea ujinga tu hata izo ajira za kwenda interview ziko wapi

mfumo gani wa elimu mtu anayeaandika mada anakwambia aliajiriwa ana nn cha ajabu

wamegundua nn mpaka leo na elimu yao ya zamani blaah blaah tu kutaka kung'ang'ania maofisini

jibu kwa fact
umaskini unakupelekea unashindwa kuchuja hoja na pumba kisa ana uchumi kama ni uchumi yeye na familia yake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom