very correctGraduates wa Chadema most of the time wanakuaga creative with independent minds, njoo sasa kwa UVCCM wanategemea kuongea ujinga na kuwa chawa ili wapate tonge

tena watu wa hovyo kabisa hawa. Wamesomea ulaya na marekani lakini hawanafaida yoyote kwa nchinyie jiniazi mlio bukua kitambo,mbona ndio mmefilisi nchi
Story of changeMaisha yanaenda kasi sana na yamebadilika sana, Leo vijana wanaosoma chuo wanaona aibu kubeba bahasha ya kaki barabarani
Enzi zetu kusoma chuo ilikuwa ni sifa kubwa sana, Haikuwa rahisi kufaulu mitihani ya form six au Form four hata kidogo
Wale waliofauli form six bado kama walijiunga na chuo Kikuu cha Dar es Salaam walikutana na mitihani mungine uliitwa "University Matriculation Test" na hapo ukifeli unatupwa nje na Division yako One
Majina ya matokeo ya mitihani yetu yalibandikwa live kwenye magazeti kila mtu anakusoma umepata alama gani sio kama Leo tunakutana na namba tu za mtahiniwa bila jina
Mimi binafsi Nilipata kazi nikiwa mwaka wa pili chuo Kikuu, Nilienda interview kwa kujiamini bila hofu kuwa sijamaliza chuo, Niliamua kutoogopa baada ya kuona Rafiki yangu amepata kazi taasisi nzuri huku tukiwa tunasoma wote mwaka wa pili chuo kikuu
Niliulizwa maswali na Panel ya watu kumi huku wote wakinibana nikifeli chuo itakuwaje kwani sina matokeo hata ya mwaka wa pili mkononi na wala hata barua tu sina bali nina Provisional Results ya First year na nilikuwa na GPA ya kawaida sana sana
Nilielezea mambo kwa upana mpaka HR pamoja na Department inayohitaji mtu wakauliza kama nimewahi fanya kazi hiyo nikiwa shule ya msingi au sekondari nikawajibu hapana, Wakauliza wewe Kijana mdogo Haya mambo ya ofsini uliyajua wapi?
Out ya vipengele kumi nilivyoulizwa Nilishindwa swali moja tu ambalo ni
Je? unataka tukulipe kiasi gani cha mshahara kwa mwezi. Hili suala nilivurunda hasa kwani sikuwahi Fikiri kuna swali kama hilo, Mimi nilijibu tu kuwa Nyie kama taasisi mnataratibu zenu za mishahara na scale zenu hivyo kwa mtu kama mimi na uwezo nilionao itatokana na utaratibu wenu, Hapa nilichemka na nikapewa marks za hovyo
Baada ya kumaliza chuo nikafanya kazi kwa mwaka mmoja nikaambiwa sasa andika Application letter vizuri ya kazi ili tuweke kwenye faili lako
Uwezo wetu wa kujiamini huwezi kufananisha na vijana wa sasa, Uwezo wetu wa kufikiri mambo ulitanuka na kubadilika sana pale tu ukifika Form Six
Enzi hizo hakuna Spoon feeding, Hakuna madesa wala vitini, Shule ni shule, Ni kusoma vitabu haswa na kuelewa concept
Turudi kwenye lengo la uzi
Mosi, Vijana wa sasa wapo vyuo vikuu hawawezi hata kuunganisha sentensi mbili za Kiingereza na anasoma masomo ya Sanaa au biashara sio engineering, Wachache wapo vizuri
Pili, Wale bright ambao ni wachache sana na wanaajiriwa na kuajirika vizuri hatuna shida nao, Wengi wanatumia simu zao kuangalia picha Instagram, na Facebook
Mwanachuo kwa sasa simu inamsaidia kuangalia umbea, Picha za wema Sepetu, Habari za Mange kimambi na Diamond Platinum, Simu zao wapo bize kuangalia picha tu,
Mwanachuo kwa sasa atajibana matumizi sana na nawapongeza kwa hilo, Lakini lengo la kujibana matumizi ni apate simu ya toleo jipya na la kisasa kwa ajili ya kuangalia picha na kuonyesha watu, Hawajui kazi zingine za simu
Wanasiasa wanaelewa kinachoendelea kwenye elimu yetu kwa sasa ndio maana wapo kimya sana
Kuna sera kama Big Results Now au BRN zimetengeneza wanafunzi wenye uelewa mdogo sana
Sera za kulenga kufaulu sasa wanafunzi hawasomi bali wanafanya maswali ya kujibu mitihani, Hii umejenga uelewa mdogo sana
Vijana wachache wako vizuri kwa sasa, Wengi ya wanachuo kuna kazi kubwa ya kufanya
Hao waliosoma na PHds huko bungeni ndio wapuuzi na wezi kuliko fisi, na kuna watu wazuri na wachapa kazi na hawana degreeBadilisha kigezo cha elimu ya mtu kugombea ubunge. Kujua kusoma na kuandika tu haitoshi, lazima mbunge awe na digrii
Hii idea ya kuwanunulia maofisa wa serikali VXR,GXR, V8 kwa nchi maskini kama Tanzania nimeshindwa kuielewa kabisa, dadeki ningekuwa mimi wote wakurugenzi,wakuu wa wilaya etc ingekuwa ni bodaboda tuu na anayetaka V8 akakope bank la kwakeMtanzania wa kawaida anaona fahari kutembelea gari ya mkopo huku akishindia mihogo na maji
Au simu Kali ya iPhone 13 huku akipiga miayo tu Hana shilingi 10 mfukoni
Vivyo hivyo serikali yao inaona fahari kuwa na midege ya matrilion ya shilingi yakiingiza hasara kila kukicha ili hali kuna Barbara mbovu, hospital zisizo na vifaa vya kisasa, vijiji kukosa huduma ya maji na umeme,shule kukosa madarasa ,mabweni,maabara nk
Wafanyazi wakisotea mishahara yao bila kupandishwa
Wanasiasa na wakuu wa idara wakinunua mi VXR,GXR, Toyota pickups new model
Miafrika ndivyo ilivyo alijisema jamaa mmoja wa ikungulyabashashi
By simbaKuwa na maaskari wote graduates itakuwa mzigo mkubwa sana kwa serikali kifedha, watadai kulipwa kwa ngazi ya graduate.
Kulinda na kukamata watu kunahitaji akili kidogo tu..
Duh! we jamaa noma!Mtanzania wa kawaida anaona fahari kutembelea gari ya mkopo huku akishindia mihogo na maji
Au simu Kali ya iPhone 13 huku akipiga miayo tu Hana shilingi 10 mfukoni
Vivyo hivyo serikali yao inaona fahari kuwa na midege ya matrilion ya shilingi yakiingiza hasara kila kukicha ili hali kuna Barbara mbovu, hospital zisizo na vifaa vya kisasa, vijiji kukosa huduma ya maji na umeme,shule kukosa madarasa ,mabweni,maabara nk
Wafanyazi wakisotea mishahara yao bila kupandishwa
Wanasiasa na wakuu wa idara wakinunua mi VXR,GXR, Toyota pickups new model
Miafrika ndivyo ilivyo alijisema jamaa mmoja wa ikungulyabashashi
Boda boda? you can't be serious Bora ungesema IST au vitsHii idea ya kuwanunulia maofisa wa serikali VXR,GXR, V8 kwa nchi maskini kama Tanzania nimeshindwa kuielewa kabisa, dadeki ningekuwa mimi wote wakurugenzi,wakuu wa wilaya etc ingekuwa ni bodaboda tuu na anayetaka V8 akakope bank la kwake
Siyo kazi za ofisini tu bali kazi iwe mjini tena mjini kweli, Mimi naona Tanzania kazi bado ni nyingi sana tatizo lipo kwa wananchi wenyewe kutokujua nini wanataka ila wachache tu ndo wanajielewa imagine uwekezaji mkubwa upo mjini sehemu zilizoendelea lakini ikitokea Serikali inataka kuwekeza vijijini watu hawataki na wanabeza kweli tena sana Sasa hizo ajira zilizotosha watu wa zamani tena mjini zisipoongezwa vijijini zitatoka wapi? Vijijini Sasa ndo kupelekwe maendeleo kwa wingi kiasi cha kuwa na umeme, maji, shule, vyuo vya Veta na Vikuu, barabara, hospital kubwa yaani hizo huduma tu zitaajili watu wengi Sasa hizo huduma serikali iombe na mashirika ya Dini na wale taasisi za misaada wajenge vijijini huduma hizo hayo yote yanatakiwa wananchi waweke msisitizo kwa serikali Ili wale wanahitaji kazi wapate kazi wafanye maana Kuna wengine hata iweje hawataki kazi wanapenda tu kulaumu na kupiga kelele bila kujishughulisha kwa kisingizio cha kukosa ajira, kingine wananchi waombe serikali mikopo ya riba ndogo Ili wale wanaohitaji mitaji wakope wafungue ofisi zao imagine Raisi alisema BOT wapunguze mikopo lakini watu wamekaa kimya hata hawaulizi hiyo ajenda itafanyiwa kazi lini? tena wengine wanapinga watu wasikope kwa riba ndogo Ili watu waendelee kukosa mitaji na meetings watu wapate ajenda za kupiga kelele huku umri wa kufanya kazi wakiwa na nguvu unawatupa mkono, hivyo watu tuamuke kuomba vijiji vigeuzwe mjini na viwanda na huduma zote kubwa na ndogo ziwe vijijini na watu wote watapata kazi iwe za kusajiliwa au za kujiajili.Shida ya watanzania ni kutokuwa wabunifu hata wakitoka vyuoni malengo ni kuajiriwa tu, unatakiwa ufikiri zaidi na kubuni kazi zipo nyingi tu tatizo tunataka kazi za ofisini tu
Kazi zikiwa nyingi watoto wao hawataweza kuzimaliza zote kikubwa kazi ziwe nyingi na Kila mtu atapata.Hapa kwenye manunuzi wanapiga pesa ndefu sn, watoto wa masikini wanataka wajiajiri lakini wa kwao wanaajiriwa kimya kimya
Tuanze na hizi chache kwanza zitolewe kwa hakiKazi zikiwa nyingi watoto wao hawataweza kuzimaliza zote kikubwa kazi ziwe nyingi na Kila mtu atapata.
Nchi ina upungufu mkubwa sana wa Wahasibu, Madaktari, Wahandisi, Manesi na fields nyingine mbali mbali lakini Serikali hii haramu wakimaliza masomo yao wanawaambia MJIAJIRI!!!! Watajiajiri vipi wakati wanatoka katika familia za kimaskini hawana hata senti ya mtaji.
Wakati huo huo Serikali haramu inanunua ndege 11 kwa cash trillion 4 na ushee ndege ambazo zinaishia kuingiza hasara kubwa sana kwa Taifa. Miaka mitano iliyopita kuanzia 2016 hasara ya ndege hizi kwa Taifa ni bilioni 364 au sawa na bilioni 73 kila mwaka!!!
Maccm yenyewe yanatanua kwa kununua magari ya kifahari yenye bei mbaya sana bila kujali hali halisi ya maisha ya ufukara wa kutisha ya Watanzania wengi.
Mwenyezi Mungu inusuru nchi yetu na hili genge la wahuni na wauaji la maccm. 🙏🏾
Hapa upo sahihi, na hili ni janga kubwa mno🤔Mwanachuo kwa sasa atajibana matumizi sana na nawapongeza kwa hilo, Lakini lengo la kujibana matumizi ni apate simu ya toleo jipya na la kisasa kwa ajili ya kuangalia picha na kuonyesha watu, Hawajui kazi zingine za simu
My services include, but are not limited to:Maisha yanaenda kasi sana na yamebadilika sana, Leo vijana wanaosoma chuo wanaona aibu kubeba bahasha ya kaki barabarani
Enzi zetu kusoma chuo ilikuwa ni sifa kubwa sana, Haikuwa rahisi kufaulu mitihani ya form six au Form four hata kidogo
Wale waliofauli form six bado kama walijiunga na chuo Kikuu cha Dar es Salaam walikutana na mitihani mungine uliitwa "University Matriculation Test" na hapo ukifeli unatupwa nje na Division yako One
Majina ya matokeo ya mitihani yetu yalibandikwa live kwenye magazeti kila mtu anakusoma umepata alama gani sio kama Leo tunakutana na namba tu za mtahiniwa bila jina
Mimi binafsi Nilipata kazi nikiwa mwaka wa pili chuo Kikuu, Nilienda interview kwa kujiamini bila hofu kuwa sijamaliza chuo, Niliamua kutoogopa baada ya kuona Rafiki yangu amepata kazi taasisi nzuri huku tukiwa tunasoma wote mwaka wa pili chuo kikuu
Niliulizwa maswali na Panel ya watu kumi huku wote wakinibana nikifeli chuo itakuwaje kwani sina matokeo hata ya mwaka wa pili mkononi na wala hata barua tu sina bali nina Provisional Results ya First year na nilikuwa na GPA ya kawaida sana sana
Nilielezea mambo kwa upana mpaka HR pamoja na Department inayohitaji mtu wakauliza kama nimewahi fanya kazi hiyo nikiwa shule ya msingi au sekondari nikawajibu hapana, Wakauliza wewe Kijana mdogo Haya mambo ya ofsini uliyajua wapi?
Out ya vipengele kumi nilivyoulizwa Nilishindwa swali moja tu ambalo ni
Je? unataka tukulipe kiasi gani cha mshahara kwa mwezi. Hili suala nilivurunda hasa kwani sikuwahi Fikiri kuna swali kama hilo, Mimi nilijibu tu kuwa Nyie kama taasisi mnataratibu zenu za mishahara na scale zenu hivyo kwa mtu kama mimi na uwezo nilionao itatokana na utaratibu wenu, Hapa nilichemka na nikapewa marks za hovyo
Baada ya kumaliza chuo nikafanya kazi kwa mwaka mmoja nikaambiwa sasa andika Application letter vizuri ya kazi ili tuweke kwenye faili lako
Uwezo wetu wa kujiamini huwezi kufananisha na vijana wa sasa, Uwezo wetu wa kufikiri mambo ulitanuka na kubadilika sana pale tu ukifika Form Six
Enzi hizo hakuna Spoon feeding, Hakuna madesa wala vitini, Shule ni shule, Ni kusoma vitabu haswa na kuelewa concept
Turudi kwenye lengo la uzi
Mosi, Vijana wa sasa wapo vyuo vikuu hawawezi hata kuunganisha sentensi mbili za Kiingereza na anasoma masomo ya Sanaa au biashara sio engineering, Wachache wapo vizuri
Pili, Wale bright ambao ni wachache sana na wanaajiriwa na kuajirika vizuri hatuna shida nao, Wengi wanatumia simu zao kuangalia picha Instagram, na Facebook
Mwanachuo kwa sasa simu inamsaidia kuangalia umbea, Picha za wema Sepetu, Habari za Mange kimambi na Diamond Platinum, Simu zao wapo bize kuangalia picha tu,
Mwanachuo kwa sasa atajibana matumizi sana na nawapongeza kwa hilo, Lakini lengo la kujibana matumizi ni apate simu ya toleo jipya na la kisasa kwa ajili ya kuangalia picha na kuonyesha watu, Hawajui kazi zingine za simu
Wanasiasa wanaelewa kinachoendelea kwenye elimu yetu kwa sasa ndio maana wapo kimya sana
Kuna sera kama Big Results Now au BRN zimetengeneza wanafunzi wenye uelewa mdogo sana
Sera za kulenga kufaulu sasa wanafunzi hawasomi bali wanafanya maswali ya kujibu mitihani, Hii umejenga uelewa mdogo sana
Vijana wachache wako vizuri kwa sasa, Wengi ya wanachuo kuna kazi kubwa ya kufanya
Unashauri nini
Umefanya self praise.Maisha yanaenda kasi sana na yamebadilika sana, Leo vijana wanaosoma chuo wanaona aibu kubeba bahasha ya kaki barabarani