Tuwaheshimu baba zetu!

Tuwaheshimu baba zetu!

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
15,126
Reaction score
35,515
Tuwaheshimu sana akina baba maana wanapitia mengi kututunza.
IMG_20200701_145601.jpg
 
Wa kwetu wa kitanzania wote mabaharia hakuna anayefanya maana atachekwa na kila mtu
 
DADEKI..😂😂😅
hapo sina usemi dah! Jamaa ni mbunifu wa aina yake..😂
 
unaweza wew
A wapi dogo atakunywa kwa vitisho tu nikimnyooshea mkono tu lzm akae kimya atakuwa analia kile kilio cha kwikwi huku akinywa maziwa..

Hii awamu ya tano bhana. 😜
 
A wapi dogo atakunywa kwa vitisho tu nikimnyooshea mkono tu lzm akae kimya atakuwa analia kile kilio cha kwikwi huku akinywa maziwa..

Hii awamu ya tano bhana. 😜
😅😅siyo vzr bembeleza mwanao
 
Back
Top Bottom