Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,763
- 2,364
yaani,dah!Matabasamu yaliyojaa furahaa .....hao wana pure love na wako soo innocent
Laiti ingekua binadamu tuna uwezo wa kujua yajayo mbele......na uwezo wa kurudi nyumaa!yaani,dah!
Those long lovely days!
Mie Ningerudi Magomeni Mviringo,Mwaka 98,nienjoy na my first Girlfrnd Pendo,nimemmisi mchaga yule!dah!Laiti ingekua binadamu tuna uwezo wa kujua yajayo mbele......na uwezo wa kurudi nyumaa!
mtafute mkuuMie Ningerudi Magomeni Mviringo,Mwaka 98,nienjoy na my first Girlfrnd Pendo,nimemmisi mchaga yule!dah!
She is already married to another Man!ahahahamtafute mkuu
Haha! Pole mkuu, kwanini hukumuoa wewe sasaShe is already married to another Man!ahahaha
Nilifanya uzembe wa kutokumjari!muda mwingi niliutumia kwenye siasa!halafu sasa ajabu yeye ndie aliyenipenda sana!ila bado tunawasiliana!but i still miss her!anataka kufafana na Preta!Haha! Pole mkuu, kwanini hukumuoa wewe sasa
Mmh polee....i hope hujutii maana kumpoteza umpendae ni tatizoo! Preta wa paco mkuu?Nilifanya uzembe wa kutokumjari!muda mwingi niliutumia kwenye siasa!halafu sasa ajabu yeye ndie aliyenipenda sana!ila bado tunawasiliana!but i still miss her!anataka kufafana na Preta!
huyo huyo,na niliifuatiliwa hio series yote kwa sababu ya ufanano wa preta na Pendo!ahahaha!Mmh polee....i hope hujutii maana kumpoteza umpendae ni tatizoo! Preta wa paco mkuu?
Hahaha.....ila mkuu kuwa makini, huyo pendo saizi ni mke wa mtuhuyo huyo,na niliifuatiliwa hio series yote kwa sababu ya ufanano wa preta na Pendo!ahahaha!
Aliniomba tuzae,nikapuuzia,na kila tulipoongea kuhusu mtoto wote tuliitaka wa kike!
Ajabu mtoto wa kwanza na mumewe akawa wa kike!