tuwafurahishe watoto....bila kujali hali zao...

Juma chief

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
2,757
2,353
d782effce8b0ac8c82d2b6ff60a9ab5e.jpg
 
What sweet innocent smiles!
Umenikumbusha Utoto!
;-(
Christmass ya '98!
Pale Magomeni Mviringo!
Dah!
 
Haha! Pole mkuu, kwanini hukumuoa wewe sasa
Nilifanya uzembe wa kutokumjari!muda mwingi niliutumia kwenye siasa!halafu sasa ajabu yeye ndie aliyenipenda sana!ila bado tunawasiliana!but i still miss her!anataka kufafana na Preta!
 
Kisha unakutana na habari hizi;
Babu ambaka mjukuu wake wa miaka 8.

Kijana mkata magogo amnajisi mtoto wa kiume wa miaka 12.

Hospitali hazina chanjo za magonjwa hatarishi.

Misaada na rambirambi za Kagera zapangiwa matumizi mengine.

Nchi yakumbwa na ukosefu wa walimu wa masomo ya Sayansi.

N.K

Tanzania yetu haimpi mtoto wa maskini haki ya kuufurahia utoto wake, Yet wanatabasamu, wakiamini wazazi na jamii tunashughulika kwa ajili ya majaliwa yao, a carefree life very lovely.
 
Nilifanya uzembe wa kutokumjari!muda mwingi niliutumia kwenye siasa!halafu sasa ajabu yeye ndie aliyenipenda sana!ila bado tunawasiliana!but i still miss her!anataka kufafana na Preta!
Mmh polee....i hope hujutii maana kumpoteza umpendae ni tatizoo! Preta wa paco mkuu?
 
Mmh polee....i hope hujutii maana kumpoteza umpendae ni tatizoo! Preta wa paco mkuu?
huyo huyo,na niliifuatiliwa hio series yote kwa sababu ya ufanano wa preta na Pendo!ahahaha!
Aliniomba tuzae,nikapuuzia,na kila tulipoongea kuhusu mtoto wote tuliitaka wa kike!
Ajabu mtoto wa kwanza na mumewe akawa wa kike!
 
Hahaha.....ila mkuu kuwa makini, huyo pendo saizi ni mke wa mtu
 
Back
Top Bottom