Tuwafanyeje hawa ?

Tuwafanyeje hawa ?

SINGLE RASHID

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
71
Reaction score
15
HII NI AKILI AU MATOPE......Wakati ADEL TAARABT wa morocco anasema hata kama QPR ipo kwenye hali mbaya ya kushuka daraja yeye akiitwa timu ya taifa atakwenda., PETER ODEMWINGIE analia kuachwa timu ya taifa ....huku kwetu watoto SAMATTA na ULIMWENGU kufika mazembe wameanza kufoji vyeti vya ugonjwa ili wasicheze...Soma CHAMPION LA LEO majibu ya daktari wa timu ya TAIFA....sasa mi najiuliza mazembe wanafoji vyeti wakifika MAN U, ARSENAL, BARCA, CHELSEA si watasema wametoka MALAWI, ZAMBIA AU UGANDA means si wabongo hawa
 
Hizi habari za kufoji vyeti zina ushahidi gani?
 
Hizi habari za kufoji vyeti zina ushahidi gani?
wamekuja na vyeti wanaumwa wamepelekwa kupimwa na daktari wa timu ya taifa...majibu mmoja ni ugonjwa wa zaman sana hautamzuia kucheza mwingine haumwi kabisa
 
chezea wabongo mpaka wanadangan'ya na mungu "wewe si ulishapewa ? ahh sio mimi tunafanana tuu.hawa ndio wakuwafungia kucheza popote duniani sio wachezaji wa heroes kwa kudai vyao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom