Mr Hero JF-Expert Member Joined Jun 11, 2015 Posts 5,540 Reaction score 7,464 Mar 30, 2016 #1 Kasimama dede kwenye mlima ,sijui atafika juu
Y ydn JF-Expert Member Joined Nov 24, 2015 Posts 2,092 Reaction score 1,411 Mar 30, 2016 #2 Nadhan akili itarudi sasa! Tumepoteza billions zanzibar kwa mambo yakitoto!
M mugajamii JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 859 Reaction score 491 Mar 30, 2016 #3 Nadhani Masoud Kipanya amekosea, lengo letu sio kuifikia MCC, bali ungeonesha tumekataa au tumenyang'anywa 'baby walker' ambayo ndio MCC kuyafikia malengo.
Nadhani Masoud Kipanya amekosea, lengo letu sio kuifikia MCC, bali ungeonesha tumekataa au tumenyang'anywa 'baby walker' ambayo ndio MCC kuyafikia malengo.
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,286 Reaction score 13,457 Mar 30, 2016 #4 ydn said: Nadhan akili itarudi sasa! Tumepoteza billions zanzibar kwa mambo yakitoto! Click to expand... Jinga kweli ww unalilia hizo tr1 kwan aliziwekeza babaako? Baada ya kutafuta vyenu mnalilia vya kupewa
ydn said: Nadhan akili itarudi sasa! Tumepoteza billions zanzibar kwa mambo yakitoto! Click to expand... Jinga kweli ww unalilia hizo tr1 kwan aliziwekeza babaako? Baada ya kutafuta vyenu mnalilia vya kupewa
Y ydn JF-Expert Member Joined Nov 24, 2015 Posts 2,092 Reaction score 1,411 Mar 30, 2016 #5 Mgirik said: Jinga kweli ww unalilia hizo tr1 kwan aliziwekeza babaako? Baada ya kutafuta vyenu mnalilia vya kupewa Click to expand... Kwan Mkwere nani alimtuma kwenda kuziomba? Mjinga wewe unayeshikishwa fagio kila jumamosi kwa ujinga wa serikali yako!
Mgirik said: Jinga kweli ww unalilia hizo tr1 kwan aliziwekeza babaako? Baada ya kutafuta vyenu mnalilia vya kupewa Click to expand... Kwan Mkwere nani alimtuma kwenda kuziomba? Mjinga wewe unayeshikishwa fagio kila jumamosi kwa ujinga wa serikali yako!
Kim Jong Jr JF-Expert Member Joined Mar 15, 2014 Posts 12,002 Reaction score 22,332 Mar 30, 2016 #6 Mgirik said: Jinga kweli ww unalilia hizo tr1 kwan aliziwekeza babaako? Baada ya kutafuta vyenu mnalilia vya kupewa Click to expand... Haya tumekuelewa mgiriki mwenye uraia na tanzania... Uchungu wa nchi ya tz kwako ni zero
Mgirik said: Jinga kweli ww unalilia hizo tr1 kwan aliziwekeza babaako? Baada ya kutafuta vyenu mnalilia vya kupewa Click to expand... Haya tumekuelewa mgiriki mwenye uraia na tanzania... Uchungu wa nchi ya tz kwako ni zero
mwanadome JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 5,155 Reaction score 5,880 Mar 30, 2016 #7 Kuna watu wanaongea utadhani wamalekani ndo walitulazimisha kuomba hizo hela.umatonya wa viongozi ndo utaliponza hili taifa
Kuna watu wanaongea utadhani wamalekani ndo walitulazimisha kuomba hizo hela.umatonya wa viongozi ndo utaliponza hili taifa
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,968 Mar 31, 2016 #8 Kwahiyo wa Msoga wanamchukuliaje ( maana yeye ndiye aliomba )
Mr Hero JF-Expert Member Joined Jun 11, 2015 Posts 5,540 Reaction score 7,464 Mar 31, 2016 Thread starter #9 Nashangaa ccm wanabeza pesa za MCC wakati upande wa pili wanashangilia kupata pesa za Japan, kweli sizitaki mbichi hizi
Nashangaa ccm wanabeza pesa za MCC wakati upande wa pili wanashangilia kupata pesa za Japan, kweli sizitaki mbichi hizi