MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,848
- 40,050
- Thread starter
-
- #81
Mtumie hela mkuu, ndiyo kazini kwake, anakula kwa urefu wa mkia wakeMwantumu amejua kutuchanganya. Na wewe alikuambia ni mimba yako? Mimi aliniambia pia kuwa nimemtia mimba.... Tumeambiwa wanaume 7 kuhusu hilo jambo.
Mi situmi pesa anachopata kwangu ni uboho tu.Mtumie hela mkuu, ndiyo kazini kwake, anakula kwa urefu wa mkia wake
Sema tuache uzinzi!Achana na UKIMWI
Nimeumia sana mpenzi wangu amefanyiwa upasuaji kwa ajili ya complication za mimba
Yaani ata taarifa ya hiyo mimba nilikua sina
Tuvae condom, nasisitiza. SITAWAFUNDISHA TENA
Kwasasa watu wengi hawachukui tahadhari kabisa, hasa hawa vijana wadogo wadogo, wanaloweka na kulowekwa tu.Kwa taarifa zilizopo maambukizi yameongezeka hivi karibuni. Leo nimemsikia mkuu wa wilaya ya karatu akilizungumzia hili kwa wilaya yake. Kipekee amesisitiza halmashauri yake kuongeza mabango ya kampeni ya kujikinga na UKIMWI.
Hata hivyo, kampeni za kujikinga na UKIMWI zinapaswa kwenda sambamba na kampeni dhidi ya vilevi. Watu wengi sasa hivi wanao uelewa wa kujikinga na UKIMWI, tatizo linabaki pale tunapokuwa tumeshatumia vilevi. Under influence ya vilevi ni rahisi mtu kufanya maamuzi yatakayoharibu maisha yake yote.
Mbona mwantumu kaniambia mimi ndio nimemjaza mimba?Mwantumu amejua kutuchanganya. Na wewe alikuambia ni mimba yako? Mimi aliniambia pia kuwa nimemtia mimba.... Tumeambiwa wanaume 7 kuhusu hilo jambo.
tuache uzinziAchana na UKIMWI
Nimeumia sana mpenzi wangu amefanyiwa upasuaji kwa ajili ya complication za mimba
Yaani ata taarifa ya hiyo mimba nilikua sina
Tuvae condom, nasisitiza. SITAWAFUNDISHA TENA
Hakika MkuuTutumie kinga wakuu.
Kinga ya buku ukiipuuzia itakugarimu
Niliuza mechi baada ya wiki ke wangu ananiambia "babe unanisaliti eeh" kumuuliza kwanini ananiambia mazing zong nilitoboka sio chini ya 200K hali kuwa shwari. Nilijutia alafu ukicheki ile pisi nyingine ipo fresh tu ila tulipima HIV alikuwa fresh tu. Baada ya hapo nimepima peke yangu mara 3 niko fresh.Hakika Mkuu
Kulikoni hii kampeni mnatutisha aseeTutumie kinga wakuu.
Kinga ya buku ukiipuuzia itakugarimu
Watu wagonjwa sana ukipima kwa macho itakugarimu. Mimi huyo tulipima fresh HIV hana kumbe ana mengineyo.Kulikoni hii kampeni mnatutisha asee
Kuna wakati tunapima HIV kwa macho, kuna pisi unajiambia ukitumia condom ni matumizi mabaya ya rasilimaliNiliuza mechi baada ya wiki ke wangu ananiambia "babe unanisaliti eeh" kumuuliza kwanini ananiambia mazing zong nilitoboka sio chini ya 200K hali kuwa shwari. Nilijutia alafu ukicheki ile pisi nyingine ipo fresh tu ila tulipima HIV alikuwa fresh tu. Baada ya hapo nimepima peke yangu mara 3 niko fresh.
Kuuza mechi no
Ni experiences tu, Mkuu, ila haujakatazwa kuuza mechiKulikoni hii kampeni mnatutisha asee
au ndio sauti ya malaika mlinzi, kuna mrembo yaani mrembo haswaa kaomba kavukavu tangu jumamosi huu uzi umenitia baridi sio kidogo. Naona kama nimeandikiwa mimi.Ni experiences tu, Mkuu, ila haujakatazwa kuuza mechi
Kama hiyo nilipiga asubuhi ndio akili zinarudi nikafata vipimo tukapima. Pisi imejazia minyama balaaKuna wakati tunapima HIV kwa macho, kuna pisi unajiambia ukitumia condom ni matumizi mabaya ya rasilimali
Katombewa huyoAlieelewa anisaidie kunielewesha