Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
Naunga mkono hoja.Ukaribu wa Ukerewe na mkoa wa Mwanza
Ukaribu wa Ukerewe na mkoa wa Mara (Bunda)
Hoja:
1. Ukerewe iko jirani na mkoa wa Mara kuliko mkoa wa Mwanza.
2. Ninadhani Ukerewe iondolewe mkoa wa Mwanza ipelekwe mkoa wa Mara.
3. Kama tumeweza kujenga Nyerere Bridge Kigamboni-Kurasini, Tanzanite Bridge, Magufuli Bridge (Kigongo Busisi) hatuwezi kushindwa kwa baadaye hali ya bajeti ikiruhusu kujenga daraja kuunganisha Bunda na Ukerewe. Marehemu Tom Mboya ali-reclaim land na kuunganisha nchi kavu na kisiwa cha Rusinga alikozaliwa.
Kisiwa cha Rusinga kikiwa kimeunganishwa na nchi kavu sehemu ya Mbita.
Taswira zote kwa hisani ya Google.
Kumaanisha kwamba ziwa lilikua limekauka ama?.Kwa taarifa ukurewe haikua kisiwa zamani. Ilikua imeungana na mkoa wa Mara. Ilikua kisiwa kuanzia Mwaka 1960
Akijibu nishtueKumaanisha kwamba ziwa lilikua limekauka ama?.
Tupe hii historia ilikuaje..mana wazee walishawahi nambia kati ya ukerewe na bunda watu walikua wanatembea tu kwa mguu..hakuna kuvuka maji.
#MaendeleoHayanaChama
Ni swala la serikali kuamua tu faida ni.nyingi sana kuliko zile za.kujenga international airport Chato. Serikali itengeneze mazingira ya faida.IS A GOOD IDEA BUT.....KUNA FAIDA YOYOTE YA KIUCHUMI ambayo inaweza kurudisha cost ya ujenzi na faida juu.??
Tupe mchanganuo wa faida tafadhali.Ni swala la serikali kuamua tu faida ni.nyingi sana kuliko zile za.kujenga international airport Chato. Serikali itengeneze mazingira ya faida.
Ukabila unawatesa sana Watanzania kwa sasa kuliko wakato wowote. Kwa kuwa Wakerewe na Wakara wanasikilizana kilugha na Wajita wa Bunda ndio maana mnatamani sana hili litokee bila kuzingatia Wazinza, Walongo na Wasumbwa nao wana nasaba na nchi jirani za Uganda na Rwanda.Ukaribu wa Ukerewe na mkoa wa Mwanza
Ukaribu wa Ukerewe na mkoa wa Mara (Bunda)
Hoja:
1. Ukerewe iko jirani na mkoa wa Mara kuliko mkoa wa Mwanza.
2. Ninadhani Ukerewe iondolewe mkoa wa Mwanza ipelekwe mkoa wa Mara.
3. Kama tumeweza kujenga Nyerere Bridge Kigamboni-Kurasini, Tanzanite Bridge, Magufuli Bridge (Kigongo Busisi) hatuwezi kushindwa kwa baadaye hali ya bajeti ikiruhusu kujenga daraja kuunganisha Bunda na Ukerewe. Marehemu Tom Mboya ali-reclaim land na kuunganisha nchi kavu na kisiwa cha Rusinga alikozaliwa.
Kisiwa cha Rusinga kikiwa kimeunganishwa na nchi kavu sehemu ya Mbita.
Taswira zote kwa hisani ya Google.
Mkuu,Kwa taarifa ukurewe haikua kisiwa zamani. Ilikua imeungana na mkoa wa Mara. Ilikua kisiwa kuanzia Mwaka 1960
Hivi unajua ni km ngapi hapo au unaongea,Ni swala la serikali kuamua tu faida ni.nyingi sana kuliko zile za.kujenga international airport Chato. Serikali itengeneze mazingira ya faida.
Ninakunukuu,Mpaka sasa kuna mkoa mkubwa kuliko yote Tanzania umenyamaza kimya (TABORA) maana haujawahi kudai kugawanywa ila uliongezewa majukumu kwa kupewa eneo la Kaliua lililokuwa kwa kiasi kikubwa kwenye mkoa wa Kigoma lakini kwa sasa ni wilaya ya mkoa wa Tabora.
Msigawe mikoa kwa kufuata asili ya wenyeji walioko maeneo hayo bali kwa kuzingatia mahitaji ya huduma za kijamii na uwezo wa kiuchumi. Wanasiasa mnaharibu mstakbari wa nchi
Mkuu,Mkuu,
Tupe nondo hizo tunazihitaji sana, ni madini hayo.
Hatuishi kwa sababu ya uchumi, ni kwa sababu ya socialization, Finito!IS A GOOD IDEA BUT.....KUNA FAIDA YOYOTE YA KIUCHUMI ambayo inaweza kurudisha cost ya ujenzi na faida juu.??