Tuunganishe dots utekwaji wa Mo Dewji

Huyu anasema chanzo magunia huyu anasema amegoma kutoa gawio kwa kuwa analipa kodi nying nishike lipi hapa nikalitupe kilingeni???
Ha ha ha! Mkuu shika yote, ukifika kilingeni nawe unga Dots
 
Hizo hela walipewa? Silaha husajiliwa. Polisi watakapotueleza mmiliki wa hizo silaha zilizotelekezwa, tutamjua mtekaji halisi, kinyume chake dots hizi zitaendelea kusimama
 
Yooote yatakuwa hadharani siku sio nyingi
Hamnaga Siri chini ya jua

Siyo wote walioshiriki walipenda kufanya unyama ule Kuna wengine Wana roho za kibinadamu. Inawauma pia. Wataanika ukweli tuuu. Yote yatakuwa hadharani
wengi hufanywa msosi wa mamba au chatu kwa kuhofia hilo !!!
 
Hapa tuwe makini sana mkuu, japo serikali na vyombo vyake vimetuaminisha vinginevyo ila ukweli ndo huo kwamba scenario hii hiii hivi........
 
Baada ya kusoma hyo paragraph jibu swali lifuatalo.
Mo alitekwa na
A. Watu binafsi
B.Sirikali
C. Hakuna jibu sahihi
 
Reactions: Lee
Tumia kichwa kufikiri na sio matako!!
 
Hakuna kipind nnachojilaumu kufanya kaz ñnayoifanya kama sasa kipnd hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…