Tuungane Tufanye Kazi

isack raphael

Senior Member
Oct 26, 2013
139
30
Habari JF,

Kulingana na hali ya uchumi kutokua njema kwa upande wangu, imenipelekea kuyumba kwenye mambo yangu mengi na kushindwa kufikia malengo.

Mambo ambayo nimeyashindwa ni

1. Ufugaji
2. Huduma ya usafi
3. Kutengeneza, kurekebisha na kuuza Fenicha (sofa)

Hivi vitu hapo juu Niko na uzoefu navyo sana ila nimeshindwa kuendelea kwa kukosa Pesa ya kuendesha.

OMBI: Kwa yeyote ambaye yuko teyari, anamtaji na anauhitaji wa kufanya Moja ya hizo shughuli ama shughuli nyingine Basi tuwasiliane Tuungane, Mimi nitachangia Ujuzi na muda wangu tukamilishe Project.

Nipo Dar es Salaam, aliye tayari tuwasiliane Tuzungumze

Nawasilisha

Ahsante
 
Hapo kwenye huduma ya usafi ulikua unafanyaje mpka ulipofikia hatua ya kushindwa

Yani namaanisha ulikua una operate vipi

Ni kitu ambacho na interest nacho
 
Niliwaandaa Vijana watano, nikanunua fagio, za ndani na nje,dekio,ndoo, na vifaa vingine
Sabuni ya unga na ya maji.

Mimi nilikua napita maofisini na majumbani kuomba deal la kuwafanyia usafi, nikipata nachukua vijana wanaenda kufanya usafi, (vyoo,jikoni,uwanjani na kusafisha mazulia,masofa na kufua )

Na kile kidogo kilichopatikana tulikua tunagawana.
 
Back
Top Bottom