Tuungane kuliombea taifa letu Tanzania

Tuungane kuliombea taifa letu Tanzania

Home tutor Dar

Senior Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
114
Reaction score
139
Kadiri tunavyokaribia uchaguzi mkuu mwezi Oktoba, ni muhimu kama Watanzania kuungana kwa sala, maombi na mshikamano tukiliombea taifa letu. Tuombe uchaguzi uwe:

Wa amani – Usio na vurugu wala chuki
Wa haki na uwazi – Haki ya kila Mtanzania iheshimiwe
Wa mshikamano na upendo – Kila mmoja atangulize maslahi ya Taifa mbele ya maslahi binafsi au ya vyama

Tujitahidi kudumisha lugha za staha, tusiingie kwenye matusi, kejeli au uchochezi – hasa mitandaoni na majukwaani. Vijana tuna nafasi kubwa ya kuwa nguzo ya amani na utulivu, siyo chanzo cha migogoro.

Tuendelee kuilinda heshima ya Tanzania yetu, ambayo imejijengea sifa kubwa ya kuwa kisiwa cha amani barani Afrika.

🌍 Baada ya uchaguzi, Tanzania ibaki kuwa moja, yenye umoja, heshima na mshikamano miongoni mwa raia wake.

Mungu ibariki Tanzania. 🙏
 
Mungu aliweka sheria na taratibu ili binadamu aishi kwa hizo kwa amani.Hivyo hatuna haja ya kumuomba labda kuomba mvua kunyesha.He tunaishi kufuatana na sheria za mungu au tulizojiwekea wenyewe?
 
Kadiri tunavyokaribia uchaguzi mkuu mwezi Oktoba, ni muhimu kama Watanzania kuungana kwa sala, maombi na mshikamano tukiliombea taifa letu. Tuombe uchaguzi uwe:

Wa amani – Usio na vurugu wala chuki
Wa haki na uwazi – Haki ya kila Mtanzania iheshimiwe
Wa mshikamano na upendo – Kila mmoja atangulize maslahi ya Taifa mbele ya maslahi binafsi au ya vyama

Tujitahidi kudumisha lugha za staha, tusiingie kwenye matusi, kejeli au uchochezi – hasa mitandaoni na majukwaani. Vijana tuna nafasi kubwa ya kuwa nguzo ya amani na utulivu, siyo chanzo cha migogoro.

Tuendelee kuilinda heshima ya Tanzania yetu, ambayo imejijengea sifa kubwa ya kuwa kisiwa cha amani barani Afrika.

🌍 Baada ya uchaguzi, Tanzania ibaki kuwa moja, yenye umoja, heshima na mshikamano miongoni mwa raia wake.

Mungu ibariki Tanzania. 🙏

Taabu ni uroho wa madaraka wa hawa wasiotaka kuwepo uchaguzi wa haki, huru wala wenye kuaminika. Wamenogewa madaraka hadi utu wote umewatoka. Haieleweki hata huko misikitini na makanisani wanakwenda kufanya nini!
 
Kadiri tunavyokaribia uchaguzi mkuu mwezi Oktoba, ni muhimu kama Watanzania kuungana kwa sala, maombi na mshikamano tukiliombea taifa letu. Tuombe uchaguzi uwe:

Wa amani – Usio na vurugu wala chuki
Wa haki na uwazi – Haki ya kila Mtanzania iheshimiwe
Wa mshikamano na upendo – Kila mmoja atangulize maslahi ya Taifa mbele ya maslahi binafsi au ya vyama

Tujitahidi kudumisha lugha za staha, tusiingie kwenye matusi, kejeli au uchochezi – hasa mitandaoni na majukwaani. Vijana tuna nafasi kubwa ya kuwa nguzo ya amani na utulivu, siyo chanzo cha migogoro.

Tuendelee kuilinda heshima ya Tanzania yetu, ambayo imejijengea sifa kubwa ya kuwa kisiwa cha amani barani Afrika.

🌍 Baada ya uchaguzi, Tanzania ibaki kuwa moja, yenye umoja, heshima na mshikamano miongoni mwa raia wake.

Mungu ibariki Tanzania. 🙏
Kuimba AMANI Bila HAKI ni UKASUKU.
wewe ni KASUKU?
 
HIZI MAMBO ZA KUMWACHIA MUNGU SIO POA KABISA, NDIZO ZIMETUFIKISHA HAPA.
KWA HAPA TULIPO LAZIMA KUWEPO NA VITA ZA WENYWE KWA WENYEWE KISHA BAADAYE NDIO TUTAHESHIMIANA.
WATU WANA TEKWA, KUTESWA NA KUAWA MUNGU YUPO TU!
WATU WANATESA NA KUTEKA WATU NA KUUA WENGINE MUNGU YUPO TU!
WANYONGE NA WAUAJI WOTE WANAMUOMBA HUYO HUYO MUNGU!!!

AMANI ITATOKEA WAPI?
HAKI? UWAZI? MSHIKAMANO? HAUKO SILIASI WEWE.
 
Wananchi wa taifa hili wanahitaji kuchukua hatua na kufanya serikali iwajibike ipasavyo.

Tuache kujidanganya kwamba maombi ndio yataleta mabadilikilo.

Ardhi ina rutuba, madini, gesi na rasilimali za kila aina halafu unasema tuliombee taifa.

Hapana tunapaswa kubadili fikra na jinsi tunavyofikiria.
 
Jinsi ya kufikiri, rahisi kuitamka

Lakini nimeshuhudia watu wakizeeka na mvi zao bila kufikiria namna wanavyofikiri

Mwili ni hardware iko attached na natural lakini ubongo ni software.! Tunakwama wapi

Kuzaliwa mpumbavu ni Dogma mbaya kuwahi kutokea ulimwenguni
 
Mungu hapendi maigizo, hakuna uchaguzi Kuna maigizo ya kaole Sanaa group hapo oktoba
 
Tatizo dini washaikataa sasa tutaomba vinini mkuu
 
Back
Top Bottom