Tuty wa Pwani Tuwasiliane.....!!

Tuty wa Pwani Tuwasiliane.....!!

Boreless

Member
Joined
Aug 25, 2009
Posts
67
Reaction score
45
Mpendwa Dada mwenye picha zifuatazo hapo chini,

Nimeokotoa flash mobile yako ikiwa na vitu mbalimbali lakini vikiwa havionyeshi utambulisho wala njia yoyote ya mawasiliano. Nimetumia signature ya doc mojawapo ambayo imesainiwa kama "Tuty wa Pwani" kukutafuta.

Usomapo au ufahamishwapo juu ya habari hii, niandikie PM ili kupata flash yako.

AiHly5XnYn5BdyWUsodNmB46BuKT5AtM5825360a_s960.jpg

uitGRca87oVwPiAgeYyiMvXoMfIIfuyD577be0ba_s500.jpg
 
Mpendwa Dada mwenye picha zifuatazo hapo chini,

Nimeokotoa flash mobile yako ikiwa na vitu mbalimbali lakini vikiwa havionyeshi utambulisho wala njia yoyote ya mawasiliano. Nimetumia signature ya doc mojawapo ambayo imesainiwa kama "Tuty wa Pwani" kukutafuta.

Usomapo au ufahamishwapo juu ya habari hii, niandikie kupitia tanvanille@gmail.com ili kupata flash yako.

Mkuu unataka kumpa flash yake au umemuelewa tu huyo mtoto?
 
Aisee!!! Mbona unamrusha make wangu kwenye mitandao?
Mpendwa Dada mwenye picha zifuatazo hapo chini,

Nimeokotoa flash mobile yako ikiwa na vitu mbalimbali lakini vikiwa havionyeshi utambulisho wala njia yoyote ya mawasiliano. Nimetumia signature ya doc mojawapo ambayo imesainiwa kama "Tuty wa Pwani" kukutafuta.

Usomapo au ufahamishwapo juu ya habari hii, niandikie kupitia tanvanille@gmail.com ili kupata flash yako.

AiHly5XnYn5BdyWUsodNmB46BuKT5AtM5825360a_s960.jpg

uitGRca87oVwPiAgeYyiMvXoMfIIfuyD577be0ba_s500.jpg
 
Temebe PPF tower utamkuta...sikwambi ofisi gani..
 
Umeokota maeneo gani hiyo flash na mimi nikaokote nyingine atakuwa amedondosha vip sana
 
Mpendwa Dada mwenye picha zifuatazo hapo chini,

Nimeokotoa flash mobile yako ikiwa na vitu mbalimbali lakini vikiwa havionyeshi utambulisho wala njia yoyote ya mawasiliano. Nimetumia signature ya doc mojawapo ambayo imesainiwa kama "Tuty wa Pwani" kukutafuta.

Usomapo au ufahamishwapo juu ya habari hii, niandikie kupitia tanvanille@gmail.com ili kupata flash yako.

AiHly5XnYn5BdyWUsodNmB46BuKT5AtM5825360a_s960.jpg

uitGRca87oVwPiAgeYyiMvXoMfIIfuyD577be0ba_s500.jpg
Acha hizo wewe utavunja ndoa za watu
 
Usione vyaelea...peleka flash polisi af useme umeipeleka kituo gan...ataifata
 
Back
Top Bottom