Tutoane ushamba.

Tutoane ushamba.

Mwenye kapicha aweke kusindikiza thread

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Vumbi la kongo la kazi gani vijanaaaa... fahamu kucheza na akili yako vizuri kama unataka kuchelewa kwenye tukunyema!! Everything starts from your brain!!
 
Niko hapa hapa mjini kati... Utuambie linapatikana wapi,, Naskilia linauzwa ghali kama madini...!
kuna swahiba wangu mmoja ni dereva wa lori yeye ndo analeta Dar, ndomana nikakuuliza mkuo ulipo ili kama anafika nimwambie akupitishie, ni kama ofa tu
 
Ndo lile vumbi la hapa kazi tu.
Napiga picha siku umelikosa ilihali ushakua addicted

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Wabongo hata uwaambie mavi yanaongeza nguvu za kiume, watakula tu

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom