Tutembeleane

Tutembeleane

[emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka walah, hivi hapa kwangu kuna chumbani na sebuleni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usijifanye hujui.
 
Leo ni siku ya kutembelea vijiji vya mkoa niliozaliwa,na kuangalia mandhari pamoja na jamii iliyopo
 
Jumamosi na Jumapili ni siku za kukutana na jamii yako inayokuzunguka,ikiwezekana hata ndugu zako walioko kijijini n.k Sio kila siku kujiweka bize kutafuta ela/fedha,fedha huwa hazijai....kuwatembelea jamii inayotuzunguka ni kuonyesha ukomavu wa kiumri pamoja na hekima.Do it...!
Let's try thanks
 
Back
Top Bottom