Tutembeleane

Tutembeleane

Jumamosi na Jumapili ni siku za kukutana na jamii yako inayokuzunguka,ikiwezekana hata ndugu zako walioko kijijini n.k Sio kila siku kujiweka bize kutafuta ela/fedha,fedha huwa hazijai....kuwatembelea jamii inayotuzunguka ni kuonyesha ukomavu wa kiumri pamoja na hekima.Do it...!
Haya anza wewe tembelea hao ndugu zako
 
Back
Top Bottom