Tutegemee Reshuffle ya Cabinet?

Ahsante sana Mkuu πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ‘πŸ½
 
Haya mambo ndo yalimpoteza saa 8 baada ya kuandika mapungufu y phd ya msepa zake
 
..Mwigulu ana akili za darasani.

..Tatizo hajafanya kazi ktk taaluma yake ya uchumi.

..alitakiwa afanye kazi ktk taasisi za masuala ya fedha na uchumi na atambulike kitaaluma ndipo aaminiwe kuwa waziri wa fedha.
Mbona amefanya BOT miaka mingi tu?
 
Cha kushangaza sasa miongoni mwa mamia ya wabunge walioko ccm hakuna anayefaa kuwa waziri ! eti hadi watu watafutwe mitaani
Hilo nalo la kushangaza? Watu ambao wanashangaana wenyewe kwa wenyewe? Wameongeza tozo halafu wanashangaa nani kaongeza?Wanamsulubu Slaa kwa kusema kuwa wabunge hawalipi kodi wakati Slaa ni mbunge mwenzao na anajua kuwa halipi kodi! iNAKUWAJE WAO WANALIPA?
 
Cha kushangaza sasa miongoni mwa mamia ya wabunge walioko ccm hakuna anayefaa kuwa waziri ! eti hadi watu watafutwe mitaani
CCM wana watu. Nyie CDM mna watu wa kuunda serikali ya jimbo mnayohubiri achilia mbali cabinet maana mtajaza aakina yule mnamuita dogo janja.
 
Kuna mawaziri walikuwaga front kifrontifronti saivi wako bakibencha sjui wanatunga sheria??
Ardhi,sheria bora wangestaafu wawaachie kazi vijana hawaendi na kasi ya mazeri kwanza niaibu akiwafukuza,akiwagombeza,akiwatuma yaani nishida wangeachia tuu japo cheo kitamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…