daza steven
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 359
- 357
Hakuna mtu atakaye kataa kuwa mafisadi yalijaa CCM. Ndiyo maana tuliambiwa na CDM kuwa CCM imeoza na serikali yake. Je yalitoka wapi haya mafisadi?
Mwishoni mwa miaka ya 1990 Baada ya marehemu baba wa taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere kututoka ndiyo haya majamaa yalianza kujitokeza kwa siri au chini chini na kujipenyeza katika awamu ya pili, awamu ya tatu yakajiimarisha zaidi na awamu ya nne yalikomaa na yakataka na kuchukuwa nchi kabisa.
Kwa busara kubwa ya wazee wa CCM alikubali kukaa chini na kukubali kuwa walikosea sana kuruhusu kuwepo kwa mafisadi ndani ya chama na wakatoka na azimio mmoja kuwa fisadi atambi tena ndani ya CCM na ndipo siasa za Tanzania zilibadilika siku hiyo hiyo na vita ilianza pale pale kwa kumuandaa Ndugu yetu Joni Pombe Magufuli.
Hivyo kikosi cha kwanza cha mafisadi kilitimkia CHADEMA kusaka urais, ambapo kikosi hiki kiliongwazwa na Lowasa na wenzake ambao tageti ilikuwa kupata uraisi au madaraka kamili ili kufafanya ufisadi.
Na kwabahati mbaya kikosi hiki kilifeli 2015 kupata uraisi lakini kipo.
Kikosi kingine ni kikosi cha akina Nyalandu hiki ni kikosi ambacho kinashindwa kuishi ndani ya CCM kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya kwao kwa sasa. Kikosi kazi hiki hakikuzoea maupepo makali tena ya joto kali, hiki ni kikosi ambacho kilizoea kipupwe na viyoyozi sasa hakuna na kibaya zaidi kimeachwa nje kabisa ya nyumba na kina pigwa na upepo wamoto ambao hawajauzoea.
Hii ina kuwa ni ngumu kwao kusavaivu na lazima kikosi hiki kitimke.
Kikosi kingine hiki ni kama cha mwanzo ila tofauti chenyewe hakisaki urais ila kuendelea na kuwa wabunge.
Kikosi hiki cha mafisadi kimepata kadhia kubwa ya tishio la kutokurudi bungeni tena kupitia CCM, kwani Mh. Rais (jembe) alisha tangaza tayari kwa kumuomba Mh. Ndugai kuwa ampe majina ya wabunge wote ambao wanatokea katika kila kashfa ya ufisadi ili wakatwe majina yao katika uchaguzi ujao.
Kikosi hiki kina watu kama Vijisenti na wenzake wengi sana hivyo CDM itakuwa na mtaji mkubwa kutokana na mafisadi hawa yote kuamia kwao kwa sababu mazingira ndani ya CCM hayaruhusu fisadi kutamba ila ndani ya CDM hari ni nzuri kufanaya siasa za mafisadi.
Kuna msemo unaosema kuwa ndege wanaofanana wanaruka tundu moja hili limedhihilika tayari kwani kwani Freeman anabarikiwa na wenzake hawa na kufanya kikosi kikubwa.
Ikumbukwe kuwa mwizi ni mwizi tu si kweli kuwa mwizi akiama kutoka Morogoro na kuamia Tabora ataacha wizi tukiaminishwa hivi tutakuwa wajinga. Mwizi anabadilika kutokana na utu wake wandani.
Jambo lingine baya ndani ya CCM kwa mafisadi ni kuwa CCM kilikuwa chama cha mafisadi kama nilivyo sema mwazo na kiliakikisha kinawalinda mafisadi wake kwa nguvu zote wakati ule na ndiyo maana CHADEMA walitusaidia sana kututajia mafisadi tena kwa majina na kutoa ushaidi kama kwa Lowasa na wengine wengi.
Tofauti na sasa CCM yenyewe inasema jamani huyu ni fisadi na kumwekea mbinu za kumwondoa kama Nyalandu Chenge na wengine. Mfano Mh. Nyalandu amekuwa kilasiku ya mungu kuitwa na kuojiwa kuhusu Tembo, Twiga na vitalu alivyo gawa kwa wawekezaji ambavyo havina faida kwa taifa, Mh. hakuzoea kabisa kusumbuliwa, ndiyo maana akaterezee CHADEMA ambapo kuna nafuu na mazigira ya kumlinda na kutetewa ni makubwa.
Namaliza kwa kusema Mh. Dr Magua fuli a.k.a JEMBE kama ulikuwa uko gia namba 3 sasa maliza zote sita chimba kwani CCM hakikuwa chama cha mafisadi hata kidogo huko nyuma unachokifanya ni sahihi ongeza joto hadi hata nyuzi 600 digree sentigredi. Hata Yesu yule Mnazareti akuyauwa mapepo wachafu aliyaruhusu yawaingie nguruwe na yalienda. Hivyo hivyo mafisadi ni kama mapepo yaache yaingie kwa nguruwe huku tumechoka.
Nawasilisha kizalendo zaidi.