Hatuwezi kurithishwa matatizo ya Rwana uganda kenya ya kupambana na wababe wa somalia, NRL na FDR kwa kusaini mkataba wa COW ie collision of the willing.Tz ijitengeze kiulizi yenyewe kwa kuweka sera sahihi na si kuungana na kurithi matatizo yao ya mahusiano ya nje.Ni jambo la muda tu COW watasambaratika hasa mageuzi ya uongozi yakifanyika uganda na rwanda muda si mrefu haitakuwa sahii maana maadui wa kisasi wanaongezeka kwa kasi dhidi ya pk.