Katika imani ya Buddha hata Hindu wanaamini mwisho wa binadamu ni kufa na kuzaliwa tena. Kuzaliwa huku kutatokana na matendo yako. Kama yalikuwa ni ya kumpendeza Mungu basibutazaliwa kwenye familia yenye tunu na furaha. Kama ulikuwa mtskaji na mtesaji unaweza kuzaliwa inzi.
Imani ya Ukristu, tunaamini bwana Yesu atarudi kuwahukumu wazima na wafu. Kutokana na matendo yao.
Hapa ninachowaza wale babu zetu walio chukulia utumwani, wale watoto ambao mimba zilitolewa, wale marehemu wote wakiwa hai. Hii dunia tutatosha kweli?