Tutatosha kweli hapa duniani?

Tutatosha kweli hapa duniani?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,356
Katika imani ya Buddha hata Hindu wanaamini mwisho wa binadamu ni kufa na kuzaliwa tena. Kuzaliwa huku kutatokana na matendo yako. Kama yalikuwa ni ya kumpendeza Mungu basibutazaliwa kwenye familia yenye tunu na furaha. Kama ulikuwa mtskaji na mtesaji unaweza kuzaliwa inzi.

Imani ya Ukristu, tunaamini bwana Yesu atarudi kuwahukumu wazima na wafu. Kutokana na matendo yao.

Hapa ninachowaza wale babu zetu walio chukulia utumwani, wale watoto ambao mimba zilitolewa, wale marehemu wote wakiwa hai. Hii dunia tutatosha kweli?
 
Ninavyofahamu mtu akifa ndio siku yake ya mwisho duniani,imagine wale wanaoliwa na wanyama watafufuliwa vipi hahaaa.
 
Katika imani ya Budda hata Hindu wanaamini mwisho wa binadamu ni kufa na kuzaliwa tena. Kuzaliwa huku kutatokana na matendo yako. Kama yalikuwa ni ya kumpendeza Mungu basibutazaliwa kwenye familia yenye tunu na furaha. Kama ulikuwa mtskaji na mtesaji unaweza kuzaliwa inzi.

Imani ya Ukristu, tunaamini bwana Yesu atarudi kuwahukumu wazima na wafu. Kutokana na matendo yao.

Hapa ninachowaza wale babu zetu walio chukulia utumwani, wale watoto ambao mimba zilitolewa, wale marehemu wote wakiwa hai. Hii dunia tutatosha kweli?
Kwa maelezo yako inaonyesha it is an alteration process, huyu anakufa huku, yule anazaliwa kule so, kunakuwa na balance flan somewhere
 
Hii inawezekana kabisa unajua kila ninavyowaza nahisi kama nilikuwa
Raisi Nchi fulani, halafu sio ya watu weuasi. Najaribu kuvuta kumbukumbu
ni nchi gani hiyo? Nikikumbuka tu nitarudi huko na kuwaambia ndio mimi
Ila hisia zangu Kama sio Qatar basi ni Norway
 
Norway na Qatar zote ni kingdoms, labda ulikuwa mfalme au waziri mkuu.
 
Itakuwa mkuu, lakini ninachokumbuka nilikuwa Mtawala mkuu
sehemu, niliuwawa nikiwa kwenye gari la Farasi.
Hivi falme za kiarabu zinatumia horse carriage kweli, wazungu ndiyo wanapenda mambo hayo. Nyoka nitafute king wa Norway aliyekufa miaka kati ya 1990 kuendelea.
 
Hivi falme za kiarabu zinatumia horse carriage kweli, wazungu ndiyo wanapenda mambo hayo. Nyoka nitafute king wa Norway aliyekufa miaka kati ya 1990 kuendelea.
Itakuwa ni 1800 kuja chini 1990 nilishakuwa mwenyeji hapa Bongo.
 
Back
Top Bottom