Ni kweli siyo swala la kudandia tu, Chadema wajiandae kwa 2015 maana Lowasa ana redio na Tv huko Arusha pia Dar ana New Habari corporation aliyouziwa na Salva Rweyemamu(mkurugenzi wa habari Ikulu), CDM bila TV, uchaguzi wa 2015 wananchi wachache waliobaki na magamba ya kijani watatapeliwa tena. Tafuteni wafadhili mapema