Fourier
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 218
- 76
Leo nimejitupia ndani ya daladala moja Gongo la Mboto~posta.Wamepanda vischana viwili vya secondary, story zao mpaka wanashuka ni boyfriends tuu tena asubuhi yote hii inayoitwa blue monday hawa watoto wanapigwa story za mabwana.
Another interesting mmoja kwa bag yake ameendika "mzuri pesa". Kweli wadau wa mapenzi tuna kazi kubwa ya kusambaza ujumbe kuwa mapenzi si pesa tukianzia kwa watoto wao.
Another interesting mmoja kwa bag yake ameendika "mzuri pesa". Kweli wadau wa mapenzi tuna kazi kubwa ya kusambaza ujumbe kuwa mapenzi si pesa tukianzia kwa watoto wao.