Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,745
Watafika tuu.Kwa hali inavyoendelea ngoja niuchune tu maana huku niliko kutamu wasije wakaleta uchawi na hukubundle la buku buku uhakika sana
Tusubiri majibu ya NdugulileNaona ligi ya BPL..(Bundle Premier League) imechangamka sasa baada ya Mtanange wa kwanza!
VPN - TCRA (3-0)
Mechi Ziliofuata...
TCRA - MITANDAO (4-1)
MITANDAO - RAIA (4-0)
Hahaha bado league inaendelea lakini mambo matamu.
Tule mtori nyama zipo chini...Naona ligi ya BPL..(Bundle Premier League) imechangamka sasa baada ya Mtanange wa kwanza!
VPN - TCRA (3-0)
Mechi Ziliofuata...
TCRA - MITANDAO (4-1)
MITANDAO - RAIA (4-0)
Hahaha bado league inaendelea lakini mambo matamu.
Spidi yake vipi kwenye Internet, maana huku Voda sijui kasi ni ya 5G+++ yani GB 1 inaisha fasta sanazantel wankupa dk 20 sms 100 Gb 1= siku 30 kwa 1000
afu kwa 2000 ni mara mbili ya hapo na 5000 wanatoa gb 5 kwa mwezi.
uko ndo kwa kukimbilia...
Tatizo la mitandao mingine tofauti na Voda, Airtel na Tigo kwenye swala la internet ni spidi yaan spidi yao ipo chini sna mpaka inaboa unajuta kwanini ulinunua bundle yani GB zako zinaisha muda bado inaload tuu Daaah! Tule mtori tu.Halotel atleast
1000 MB 500 bila dakika wiki
2000 GB 1.6 bila dakika wiki
3000 GB 3 bila dakika wiki
5000 GB 6 bila dakika wiki
10000 GB 13 bila dakika wiki
15000 GB 25 bila dakika wiki
10000 GB 10 bila dakika Mwezi
15000 GB 16
20000 GB 22
30000 GB 34
50000 GB 60
1000 GB 1 Halopesa wiki
3000 GB 3 na dakika 30 Halopesa wiki
3000 GB 3 bila dakika wiki
10000 MB200 sms 50 na dakika 1250