Tutaponea wapi sisi Watanzania baada ya Serikali kututupa mkono? Airtel nao washusha kiwango cha Data

AIR FUCKING TEL, mawazo yao wanadhani tunatmia Bundle kuangalia porns which is also none of their business.
 
Huu ushakuwa upumbavu sasa, tulizimiwa mitandao kipindi cha uchaguzi mkuu tukakaa kimya, vitu vinazidi kwenda shagala bagala tumekaa kimya tumeshaonwa mazuzu! ***** zao
 
Huyu rais anatumia nguvu nyingi badala ya akili. Anabana kodi kwa makampuni makubwa hajui kama makampuni hayo yanaleta hizo gharama zinazoongezwa kwa mtumiaji wa mwisho ambaye ni sisi wananchi wadogo
 
Halotel atleast
1000 MB 500 bila dakika wiki
2000 GB 1.6 bila dakika wiki
3000 GB 3 bila dakika wiki
5000 GB 6 bila dakika wiki
10000 GB 13 bila dakika wiki
15000 GB 25 bila dakika wiki

10000 GB 10 bila dakika Mwezi
15000 GB 16
20000 GB 22
30000 GB 34
50000 GB 60

1000 GB 1 Halopesa wiki
3000 GB 3 na dakika 30 Halopesa wiki
3000 GB 3 bila dakika wiki
10000 MB200 sms 50 na dakika 1250
Bora huki mara 1000
 
Halotel atleast
1000 MB 500 bila dakika wiki
2000 GB 1.6 bila dakika wiki
3000 GB 3 bila dakika wiki
5000 GB 6 bila dakika wiki
10000 GB 13 bila dakika wiki
15000 GB 25 bila dakika wiki

10000 GB 10 bila dakika Mwezi
15000 GB 16
20000 GB 22
30000 GB 34
50000 GB 60

1000 GB 1 Halopesa wiki
3000 GB 3 na dakika 30 Halopesa wiki
3000 GB 3 bila dakika wiki
10000 MB200 sms 50 na dakika 1250
Huu si utopolo bora nibakie na air tel the smartphone network.
 
Bado sijaona mtandao nafuu hapa bongo kuliko Airtel.

Ona kifurushi chao cha buku 1000 hicho.

Una Dak 100 za kupiga simu Airtel,Dak 10 kwenda mitandao yote,SMS 1000 na 1GB hadi 14-02-2021 18:22:15.Kujua salio piga *149*81#
 
Watanzania kama ilivyo ada tumekuwa wanyonge mpaka basi. Tumekubali kukamuliwa kila sehemu na Serikali imeamua kuendelea kutunyonya mpaka damu.

Kifurushi cha Airtel cha Tsh 1,000 kwa GB 1 nacho kimepunguzwa. Sasa ni MB 500 kwa tsh 1000 ndani ya siku 3.

Tunajua Serikali nayo inafaidika na mnyonyo huu,mkamuo huu. Wametukamua maziwa bila kutulisha. Sasa maziwa yamekauka. Wanaanza kutukamua Damu.

Watanzania, ilipanda sukari tukanyamaza, ikapanda bei ya mafuta tukanyamaza, inapanda bei ya vifurushi tumenyamaza. Tunataka ipande nini tuamke?

Mpaka sasa natafuta Mtandao Rafiki ambao utanisaidia upande wa Data niachane na Airtel. Please tushirikishane kama Halotel, Zantel au TTCL wana offer za kufaa za Internet Bundles.
Mimi natumia Airtel uwa najiunga vifurushi vya wiki au mwez Jana nashangaa naenda jiunga nakuta kifurushi Cha 20000 unapata gb 11 sikuamini macho yangu.
Nasubiri star link ifike afrika tuhamie huko maana internet ni 100$ mwez mzima speed ya kufa mtu mpaka mb 50/sec ping 52 milliseconds
 
Back
Top Bottom